UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Ni kweli wasukuma amewaonea kuwachanganya na hao wengine. Hao wengine hata mashuleni tu tulikuwa tunawajua, lakini wasukuma walikuwa watu wazuri tu.Ondoa kabisa wasukuma! Hawana ukabila, ni utendaji wako tu na tena hawana upendeleo. Cheki hata kuoa, wangekuwa kama wachaga au wahaya au wanyakyusa wasingeoa wachaga au kabila hizo kama wahaya