UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Ni kweli wasukuma amewaonea kuwachanganya na hao wengine. Hao wengine hata mashuleni tu tulikuwa tunawajua, lakini wasukuma walikuwa watu wazuri tu.Ondoa kabisa wasukuma! Hawana ukabila, ni utendaji wako tu na tena hawana upendeleo. Cheki hata kuoa, wangekuwa kama wachaga au wahaya au wanyakyusa wasingeoa wachaga au kabila hizo kama wahaya
Kerewekwan we kabila gani
sema mpo wachache mlisoma hakuna namnaWangoni na wahehe ni mfano wa kuigwa, kwa upande wa wangoni huwa ni wale wanaoitwa wamatengo maana ndio watu wanaowakilisha zaidi maofisini kutoka Ruvuma,
Hawanaga mambo ya kibaguzi
Hawa wanatokea wapi? ndiyo kwanza nawasikia toka nizaliweWamatengo ndio wanaoongoza kwa ukabila Tz
Fanya research.