Uzi umegeuka kuwa wa chuki zaa kikabila, haufai tena kuendelezwa
Na sio wachaga tu hata waarabu, wahindi, wasomali, n.k.
Mtoto wa mama - mtoto ambae kwenye makuuzi yake anaujua zaidi upande wa mama kuzidi baba, ndugu wengi anaowajua na aliowazoea ni wa mama kina mjomba, mama mdogo, mama mkubwa na watoto zao., kazoea kwenda zaidi kijijini kwa mama kiijini kwa baba anaweza akawa hapajui ama kaenda zamani sana kiasi hata ndugu wa huko washamsahau ama kupoteza ukaribu.
Mtoto wa baba - Mtoto ambae kwenye makuuzi yake anaujua zaidi upande wa baba kuzidi mama, ndugu alio nao karibu zaidi ni wale upande wa baba kina baba mkubwa, baba mdogo, mashangazi na watoto zao, kazoeshwa na kazoea kwenda zaidi kijijini kwa baba, huko wnamjua ni mtoto wa kaka yao wala si mgeni sana.
Kwanini watoto wa baba wana uwezekano (sio fuarantee) mkubwa wa kufanikiwa zaidi
Kwa asili ya ndoa, Mwanaume anaeoa huwa ana mafanikio zaidi kuzidi mwanamke anaemuoa, mara nyingi hali za wanawake kuwa chini kimaendeleo zina reflect na hali zao walikotoka + ndugu waliowazunguka, kuna vitu vingi hata visivyoonekana watoto wanavibebeba kwa kuwa upande wa baba au mama, si ajabu watoto wa mama kuw by product za asili za mama zao hata kimaendeleo na wale wa baba kuwa reflection ya maendeleo ya sehemu waliyozungukwa zaidi upande wa baba.