Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sioni ukabila humu, mada haihuu ukabila bali mfumo wa makuuzi ya watotoNyerere alikataa hii kitu ukabila
soma comments zote kuna kitu utagunduasioni ukabila humu, mada haihuu ukabila bali mfumo wa makuuzi ya watoto
Tuulize sisi tuliooa wachaga "MJINGA" baba mkwe anataka kuingia hadi chumba cha-kulala😡Na sio wachaga tu hata waarabu, wahindi, wasomali, n.k.
Mtoto wa mama - mtoto ambae kwenye makuuzi yake anaujua zaidi upande wa mama kuzidi baba, ndugu wengi anaowajua na aliowazoea ni wa mama kina mjomba, mama mdogo, mama mkubwa na watoto zao., kazoea kwenda zaidi kijijini kwa mama kiijini kwa baba anaweza akawa hapajui ama kaenda zamani sana kiasi hata ndugu wa huko washamsahau ama kupoteza ukaribu.
Mtoto wa baba - Mtoto ambae kwenye makuuzi yake anaujua zaidi upande wa baba kuzidi mama, ndugu alio nao karibu zaidi ni wale upande wa baba kina baba mkubwa, baba mdogo, mashangazi na watoto zao, kazoeshwa na kazoea kwenda zaidi kijijini kwa baba, huko wnamjua ni mtoto wa kaka yao wala si mgeni sana.
Kwanini watoto wa baba wana uwezekano (sio fuarantee) mkubwa wa kufanikiwa zaidi
Kwa asili ya ndoa, Mwanaume anaeoa huwa ana mafanikio zaidi kuzidi mwanamke anaemuoa, mara nyingi hali za wanawake kuwa chini kimaendeleo zina reflect na hali zao walikotoka + ndugu waliowazunguka, kuna vitu vingi hata visivyoonekana watoto wanavibebeba kwa kuwa upande wa baba au mama, si ajabu watoto wa mama kuw by product za asili za mama zao hata kimaendeleo na wale wa baba kuwa reflection ya maendeleo ya sehemu waliyozungukwa zaidi upande wa baba.
watu wameanzisha ukabila kwenye maada isiyohusu ukabilasoma comments zote kuna kitu utagundua
Tuulize sisi tuliooa wachaga "MJINGA" baba mkwe anataka kuingia hadi chumba cha-kulalaNa sio wachaga tu hata waarabu, wahindi, wasomali, n.k.
Mtoto wa mama - mtoto ambae kwenye makuuzi yake anaujua zaidi upande wa mama kuzidi baba, ndugu wengi anaowajua na aliowazoea ni wa mama kina mjomba, mama mdogo, mama mkubwa na watoto zao., kazoea kwenda zaidi kijijini kwa mama kiijini kwa baba anaweza akawa hapajui ama kaenda zamani sana kiasi hata ndugu wa huko washamsahau ama kupoteza ukaribu.
Mtoto wa baba - Mtoto ambae kwenye makuuzi yake anaujua zaidi upande wa baba kuzidi mama, ndugu alio nao karibu zaidi ni wale upande wa baba kina baba mkubwa, baba mdogo, mashangazi na watoto zao, kazoeshwa na kazoea kwenda zaidi kijijini kwa baba, huko wnamjua ni mtoto wa kaka yao wala si mgeni sana.
Kwanini watoto wa baba wana uwezekano (sio fuarantee) mkubwa wa kufanikiwa zaidi
Kwa asili ya ndoa, Mwanaume anaeoa huwa ana mafanikio zaidi kuzidi mwanamke anaemuoa, mara nyingi hali za wanawake kuwa chini kimaendeleo zina reflect na hali zao walikotoka + ndugu waliowazunguka, kuna vitu vingi hata visivyoonekana watoto wanavibebeba kwa kuwa upande wa baba au mama, si ajabu watoto wa mama kuw by product za asili za mama zao hata kimaendeleo na wale wa baba kuwa reflection ya maendeleo ya sehemu waliyozungukwa zaidi upande wa baba.
na hua yanaanzia ivo ivo mbaliwatu wameanzisha ukabila kwenye maada isiyohusu ukabila
Tatzo unapanki mkuu kwan jamaa amekuambia st james au kwanza unajua tofaut ya st na international? alaf hzo international unasema koz mm 2019 nilikuwa na supply mambo fluna hapo international school of mosh iliopo Arusha ksongo man kunaawa kabila jiran zenu waongelek sana lakn aisee wamaasai sjui wanamzamin naona saiv wameamka kwl aiseee kiukwl ndy weng na pia kuna makabila mengne kwaiyo kwa elimu kila kabila wanasomaUpo nyuma sana kielimu, hizi saint mary, saint james, sio shule international, zimeongezewa hilo neno "international" kuwazuzua watu msiojua vigezo vya shule international
Shule international haitumii mtaala wa necta, wanatumia mitaala ya kimataifa, balozi wa Marekani akija Tanzania mtoto wake anaendelea shule bila tatizo.
Ila US na NATO unaowatetea na kuwaona Mungu watu si ndo machoko wamejaa huko??Mkoa unaoongoza kwa marioo, wanaume wake kulelewa, wanaume kukimbia majukumu na kuwaachia wanawake malezi (hasa Rombo).
Kilimanjaro ni mkoa wa bara unaoongoza kwa idadi ya mashoga, ukiachana na Dar. Nimeishi kule na hili sio la kuambiwa ni la kuona kabisa. Kama unataka kuona nenda clubs mbalimbali kama Redstone, club D, ule ukumbi wa harusi pembeni ya soko la Memorial kama unakatisha barabara ya mjini karibu na uwanja. Nenda mashuleni hadi seminari za uko kina Uru mashoga wanagundulika.
Vijana wa Kilimanjaro wanaongoza kwa kuomba misaada kwa wadada, kuhamia magheto ya mademu zao vyuoni, kulelewa na mashangazi, kulilia birthday gifts, kukopakopa kwa wanawake na kujichekesha hovyo kwa wenye hela.
Hizi sio tabia za kiumeni, ni umama.
Nakubaliana na wew kabisa. Hata hapa Dar katika machoko watano watatu ni wachagga wakiongozwa na Noeli MushiMkoa unaoongoza kwa marioo, wanaume wake kulelewa, wanaume kukimbia majukumu na kuwaachia wanawake malezi (hasa Rombo).
Kilimanjaro ni mkoa wa bara unaoongoza kwa idadi ya mashoga, ukiachana na Dar. Nimeishi kule na hili sio la kuambiwa ni la kuona kabisa. Kama unataka kuona nenda clubs mbalimbali kama Redstone, club D, ule ukumbi wa harusi pembeni ya soko la Memorial kama unakatisha barabara ya mjini karibu na uwanja. Nenda mashuleni hadi seminari za uko kina Uru mashoga wanagundulika.
Vijana wa Kilimanjaro wanaongoza kwa kuomba misaada kwa wadada, kuhamia magheto ya mademu zao vyuoni, kulelewa na mashangazi, kulilia birthday gifts, kukopakopa kwa wanawake na kujichekesha hovyo kwa wenye hela.
Hizi sio tabia za kiumeni, ni umama.
Afande wa Zanzibar yule sheikh naye ni NATO?Ila US na NATO unaowatetea na kuwaona Mungu watu si ndo machoko wamejaa huko??
Kuna mmoja nishawahi omba namba ya supplier wa daftari enzi Fulani nikiwa chuoni yaani mie mwanachuo jamani,Sasa nikaomba shemeji yake nakuambia jamaa alitoka chobisi akanikofokeaje ,yaani Ile kuomba namba namie nichukue mzigo Kama yeye akaanza kunitisha kuwa kwanza inabidi uchukue mzigo mwingi mno Kama katoni 50.Kwa hiyo ukienda pale St James utakuta ni wasukuma ndio wanasoma!?
Hakuna out of the box mkaa umezaa majivu wachaga wa Sasa sio wale hustlers wa kwanza hata hizo Mali walizoachiwa zinachechemea
Wakati naanza biashara ukikuta sehem Kuna mchaga unaogopa kama utatoboa kwa Sasa unawatoa road vizuri TU na wanakimbilia nje ya mji na kitu kimoja nimejifunza kwa wachaga ni waoga mnooo wa ushindani kidogo tu anahama eneo au biashara inageuka zilipendwa
Naunga mkono hojaHawahawa wachaga wa marangu na rombo au Kuna wengine!?
Anyway sikatai hapo kabla wachaga walitawala sana tz ila kama ilivyokawaida ya mkaa kuzaa majivu ndivyo ilivyo kwa Sasa si ajabu tena kukuta top ten ya matokeo hakuna mchaga
Si ajabu kukuta maduka 10 mtaani hakuna la mchaga
Si ajabu ukipita kariakoo na ukakuta maduka 10 yote ya wakinga na wasukuma mixer waha
Sijaongelea mabasi pale ubungo ya wakinga na wasukuma kibao yamejaa na wagogo ndani
Zama zimebadilika
Asanteni kwa kuonesha njia