Makabila mengi Tanzania hayaendelei sababu ni watoto wa mama, Wachaga wapo mbali sababu wanakuzwa kuwa watoto wa baba.

Makabila mengi Tanzania hayaendelei sababu ni watoto wa mama, Wachaga wapo mbali sababu wanakuzwa kuwa watoto wa baba.

Mimi sio mchaga...lakin nawapa maua yao kwa kweli...huwez kimbia mfumo..hata kipindi natafuta mke niliomba nipate mchaga...Mungu ni wa wote...na nikampata...she z very smart evr...
 
Na sio wachaga tu hata waarabu, wahindi, wasomali, n.k.

Mtoto wa mama - mtoto ambae kwenye makuuzi yake anaujua zaidi upande wa mama kuzidi baba, ndugu wengi anaowajua na aliowazoea ni wa mama kina mjomba, mama mdogo, mama mkubwa na watoto zao., kazoea kwenda zaidi kijijini kwa mama kiijini kwa baba anaweza akawa hapajui ama kaenda zamani sana kiasi hata ndugu wa huko washamsahau ama kupoteza ukaribu.

Mtoto wa baba - Mtoto ambae kwenye makuuzi yake anaujua zaidi upande wa baba kuzidi mama, ndugu alio nao karibu zaidi ni wale upande wa baba kina baba mkubwa, baba mdogo, mashangazi na watoto zao, kazoeshwa na kazoea kwenda zaidi kijijini kwa baba, huko wnamjua ni mtoto wa kaka yao wala si mgeni sana.

Kwanini watoto wa baba wana uwezekano (sio fuarantee) mkubwa wa kufanikiwa zaidi

Kwa asili ya ndoa, Mwanaume anaeoa huwa ana mafanikio zaidi kuzidi mwanamke anaemuoa, mara nyingi hali za wanawake kuwa chini kimaendeleo zina reflect na hali zao walikotoka + ndugu waliowazunguka, kuna vitu vingi hata visivyoonekana watoto wanavibebeba kwa kuwa upande wa baba au mama, si ajabu watoto wa mama kuw by product za asili za mama zao hata kimaendeleo na wale wa baba kuwa reflection ya maendeleo ya sehemu waliyozungukwa zaidi upande wa baba.
Tuulize sisi tuliooa wachaga "MJINGA" baba mkwe anataka kuingia hadi chumba cha-kulala😡
 
Tuulize sisi tuliooa wachaga "MJINGA" baba mkwe anataka kuingia hadi chumba cha-kulala
 
Mtoa mada...ameleta mada yake ikiwa na maana nzuri kabisaa ni ni ukweli mtupu...sasa wachangiaji wameleta ukabila...labda mimi nikazie kitu kimoja...sisi sote hayupo anae ijua kesho yake vyema hasa maswala ya uzima...hiz commnt za chuki kwa kabila fulan hazisaidii mimi binafsi kabila langu halinifurahishi...nimezunguka zunguka..nimesoma soma...nimeona kuna kabila naweza adopt...ambalo litakaa kwenye mfumo wa akili yangu...siku zote mimi huwa naiga mazuri tu na yenye manufaa...nikachagua chagga...lina mfumo mzuri
 
Upo nyuma sana kielimu, hizi saint mary, saint james, sio shule international, zimeongezewa hilo neno "international" kuwazuzua watu msiojua vigezo vya shule international

Shule international haitumii mtaala wa necta, wanatumia mitaala ya kimataifa, balozi wa Marekani akija Tanzania mtoto wake anaendelea shule bila tatizo.
Tatzo unapanki mkuu kwan jamaa amekuambia st james au kwanza unajua tofaut ya st na international? alaf hzo international unasema koz mm 2019 nilikuwa na supply mambo fluna hapo international school of mosh iliopo Arusha ksongo man kunaawa kabila jiran zenu waongelek sana lakn aisee wamaasai sjui wanamzamin naona saiv wameamka kwl aiseee kiukwl ndy weng na pia kuna makabila mengne kwaiyo kwa elimu kila kabila wanasoma
 
Mkoa unaoongoza kwa marioo, wanaume wake kulelewa, wanaume kukimbia majukumu na kuwaachia wanawake malezi (hasa Rombo).

Kilimanjaro ni mkoa wa bara unaoongoza kwa idadi ya mashoga, ukiachana na Dar. Nimeishi kule na hili sio la kuambiwa ni la kuona kabisa. Kama unataka kuona nenda clubs mbalimbali kama Redstone, club D, ule ukumbi wa harusi pembeni ya soko la Memorial kama unakatisha barabara ya mjini karibu na uwanja. Nenda mashuleni hadi seminari za uko kina Uru mashoga wanagundulika.

Vijana wa Kilimanjaro wanaongoza kwa kuomba misaada kwa wadada, kuhamia magheto ya mademu zao vyuoni, kulelewa na mashangazi, kulilia birthday gifts, kukopakopa kwa wanawake na kujichekesha hovyo kwa wenye hela.

Hizi sio tabia za kiumeni, ni umama.
Ila US na NATO unaowatetea na kuwaona Mungu watu si ndo machoko wamejaa huko??
 
Yaan the way mnavyowaongelea wachaga mitandaoni na walivyo kwa ground ni tofauti kabisa.
Mbona sioni tofauti kubwa kati ya wachaga na watz wengine. Sote tupo kwenye umaskini wa kutisha. Nchi yetu bado inasafari ndefu sana kuanza kutambiana
 
Mkoa unaoongoza kwa marioo, wanaume wake kulelewa, wanaume kukimbia majukumu na kuwaachia wanawake malezi (hasa Rombo).

Kilimanjaro ni mkoa wa bara unaoongoza kwa idadi ya mashoga, ukiachana na Dar. Nimeishi kule na hili sio la kuambiwa ni la kuona kabisa. Kama unataka kuona nenda clubs mbalimbali kama Redstone, club D, ule ukumbi wa harusi pembeni ya soko la Memorial kama unakatisha barabara ya mjini karibu na uwanja. Nenda mashuleni hadi seminari za uko kina Uru mashoga wanagundulika.

Vijana wa Kilimanjaro wanaongoza kwa kuomba misaada kwa wadada, kuhamia magheto ya mademu zao vyuoni, kulelewa na mashangazi, kulilia birthday gifts, kukopakopa kwa wanawake na kujichekesha hovyo kwa wenye hela.

Hizi sio tabia za kiumeni, ni umama.
Nakubaliana na wew kabisa. Hata hapa Dar katika machoko watano watatu ni wachagga wakiongozwa na Noeli Mushi
 
Kwa hiyo ukienda pale St James utakuta ni wasukuma ndio wanasoma!?
Hakuna out of the box mkaa umezaa majivu wachaga wa Sasa sio wale hustlers wa kwanza hata hizo Mali walizoachiwa zinachechemea
Wakati naanza biashara ukikuta sehem Kuna mchaga unaogopa kama utatoboa kwa Sasa unawatoa road vizuri TU na wanakimbilia nje ya mji na kitu kimoja nimejifunza kwa wachaga ni waoga mnooo wa ushindani kidogo tu anahama eneo au biashara inageuka zilipendwa
Kuna mmoja nishawahi omba namba ya supplier wa daftari enzi Fulani nikiwa chuoni yaani mie mwanachuo jamani,Sasa nikaomba shemeji yake nakuambia jamaa alitoka chobisi akanikofokeaje ,yaani Ile kuomba namba namie nichukue mzigo Kama yeye akaanza kunitisha kuwa kwanza inabidi uchukue mzigo mwingi mno Kama katoni 50.
 
Hawahawa wachaga wa marangu na rombo au Kuna wengine!?
Anyway sikatai hapo kabla wachaga walitawala sana tz ila kama ilivyokawaida ya mkaa kuzaa majivu ndivyo ilivyo kwa Sasa si ajabu tena kukuta top ten ya matokeo hakuna mchaga
Si ajabu kukuta maduka 10 mtaani hakuna la mchaga
Si ajabu ukipita kariakoo na ukakuta maduka 10 yote ya wakinga na wasukuma mixer waha
Sijaongelea mabasi pale ubungo ya wakinga na wasukuma kibao yamejaa na wagogo ndani
Zama zimebadilika
Asanteni kwa kuonesha njia
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom