Makabila mengi Tanzania hayaendelei sababu ni watoto wa mama, Wachaga wapo mbali sababu wanakuzwa kuwa watoto wa baba.

Angalia wanyiramba
Utajifunza kitu
 
Halafu nyie kenge kwa Sasa hata akili hamna ni heri kuwaacha muendelee kulewa sifa za "uchaga"huku mkigeuka mafundi njaa daily
Kenge tena. Kumbe naongea na mtoto nilifikiri naongea na mchambuz mtafiti. Ngoja nikuache upate exposure kwanza
 
Singo maza kazi ya kuoga mvua ya madongo wanayo mwaka huu
 
Ni kweli wana malezi flani ya kibabe, na ndio sbb kubwa wanawake wa kichaga kutokuwa romantic.
Hawana zile Haiba za kike.
jinsia ya kike, tabia za kiume.
Na ukioa mchaga lazima uwe na Plan B ya unyumba.
Hapo akili yako itakuwa na afya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…