ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Ndio maana weusi wanajichubua wawe weupe?!!Zamani nilijuaga weupe ni uzuri kumbe ni propaganda za western people and Asian to inferiorize black race.
Masalio ya ukoloni ni kwamba makabila yenye rangi(light skin) hudhani kuwa ni wazuri kuliko weusi tiii kama wasudan.
Dhana ya uzuri imebaki kuwa jambo lisiloeleweka kwa mtu mweusi duniani.
Wewe ni mmoja wa watu waliomezwa na fikra za kikoloni juuu ya uzuri wa mtu.
Unakuta mpare mmoja makalio kapigwa pasi halafu mtu anakwambua eti ni mzuri kisa ana karangi fulani hivi.
Swali ni je kama weupe ni uzuri wanawake wa kizungu /kiarabu/kichina/kihindi wote ni wazuri.
Mtoa mada japo hujasemea weupe ila naelewa watu wa maeneo ulootaja hawana zaidi ya uweupe.
Kwa nini mwonekano wa tofauti wa kimaumbile uwe uzuri ?
Je kundi lenye mwonekano unaofanana wote ni wazuri ?
Tabia ya kushadadia uweupe imepelekea waafrika shababi kuoa vimwanamke vya hovyo huko ulaya na china na baadae kujutia sana.
Huwezi kuniambia mbantu ni mbaya kuliko mmasai wakati watu hao ni tofauti kimaumbile. Fananisha mnyakyusa na mmakonde, muhaya na muha(they are all bantus). Mmasai na mtusi, muiraki na msomali( all noloyics) mwarabu na muhindi( Asians).
Unamlinganisha vipi mchaga na mwarabu kutafuta mzuri hali hawafanani kwa maumbile yao rangi zao nk.
DUNIA IPO KATIKA UJINGA NA UWONGO SANA Iila nambo yaliozoeleka huwa tanaonekana au kufikirika kuwa ni ya kweli hata kama hayana ushahidi wa kisayansi.
Any way dada zenu ni warembo kwa nyinnyi kaka zao.
Miaka ya 90+ pale shinyanga hakuna kundi la wanawake na wanaume lililokuwa linadharaulika kama wanyiramba na ndugu zao. Ukioa wale ulikuwa unachekwa mno. It was very inferior group in Shy social construct!
Unipinge kwa hoja.
Mkashauriane kwanza kuwa uweusi pia ni uzuri sio unaandika waraka usio na mashiko
Mbeya na Iringa wanaongeza kwa mikorogo