Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Nayapenda sana makabila yote ya tanzania kwa maana na yenyewe yote yananipenda. Hii inajidhihirisha kutokana na mimi kuweza kwenda sehemu yoyote ya tanzania nikaishi pasipo na shaka yoyote. Mungu azidi kutusaidia tuendelee kuwa wamoja.
 
Karibu sana ndugu, nini mtazamo wako kuhusu dini za hapa Tz
 
Karibu sana ndugu, nini mtazamo wako kuhusu dini za hapa Tz

Napendekeza tuendelee kuishi kama zamani. Mimi nakumbuka zamani tulikuwa na majirani wa dini mbili sisi yetu na wao ya kwao. Yaani kati yetu na majirani upande mmoja ulikuwa waislam na mwingine wakristo, ikifika siku kuu ya Eid upande mmoja ulikuwa unakaribishwa na ikifika X-mas upande mwingine pia ulikuwa unakaribishwa. Tumekuzwa hvyo ss nyumbani kwetu na ss watoto tulikuwa tunapendana mpaka leo. Kwa mtazamo wangu naona tuendelee hvyo.
 
Katika jamii ya Tanzania, kuna makabila karibu 150. Makabila yafuatayo yanasemwa kuwa na sifa kama hivi;

1. MAKABILA YA WASOMI
Wachaga, wapare, wanyakyusa, wahaya

2. MAKABILA YENYE HASIRA
Wahehe (kujinyonga), Wakurya (kuua), Wajita

3. MAKABILA YA WAVIVU
Makabila yote mikoa ya pwani; wazaramo, wakwere, wapogoro, wazigua, wasambaa etc.

4. OMBA OMBA
Hapa wagogo wameshika namba

5. WAFANYAKAZI (wachapa kazi)
Wasukuma, Wasafwa, Wabena, wanyamwezi

6. UCHAWI na USHIRIKINA
Wafipa (Sumbawanga), Wakinga (Iringa/Njombe),

Ongeza yako unayoyafaham.

 
Unapenda kutukanwa eeh...!!! ngoja waje..
 
3. MAKABILA YA WAVIVU. inakuhusu wewe mwandishi.
Mwambojoke, hembu angalia wazaramo...wanafanya kazi gani zaidi ya bao, kahawa (gahwa) na ngoma (mdundiko)? Huo ni mfano hai, na nafkiri liko wazi hilo!


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ss mm mmakua cjui hata salamu ss tabia ndio cfahamu niambie niko wapi hapo!!?
Sifaham hata wamakua ni watu wa wapi!
Jaribu kutuulizia ndugu zako, halafu utujuze.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Katika jamii ya Tanzania, kuna makabila karibu 150. Makabila yafuatayo yanasemwa kuwa na sifa kama hivi;
2. MAKABILA YENYE HASIRA
Wahehe (kujinyonga), Wakurya (kuua), Wajita

1.kijani
hawana hasira hao,ila wana chuki !
-wachoyo kimtindo
-wana mioyo ya kisasi

2.Blue
to some extent naweza kubaliana na wewe
-sio wanafiki hata chembe
-wanachapa kazi si mchezo
-jasiri,sio waoga!
-wana misimamo
-watata
-hawapendi kuonewa
-wana kisasi

3.Red
hapo upo totally wrong,hawa wengi wao waliosoma ni walimu,hasa wa shule za msingi na sekondari,na maafisa elimu pia..kwa kifupi wapo sana katika idara ya elimu
kitabia:waoga sana...wanapenda sana kujikubali(kwa mbali wanafanana na wahaya na wanyakyusa,ila wanyakyusa wao wanajikubali pasipo lolote!
watoto wa kike wao wanazalia sana nyumbani i.e kabla ya kuolewa na ukimtaka mwanao unampata kiroho safi,yeye anaendelea kugawa mzigo na kutafuta wanaume wengine wa kumzalisha tena!

hayo makabila nayafahamu kwa undani kwa sababu nimeishi nayo sana.....kabila jingine ninalolifahamu pia ni wajaluo,ila mtoa mada hajaliweka hapa!!

sorry kama kuna watu watakwazika na mtazamo wangu!


Mwisho,naomba ku declare interest,

mimi The Magnificent ni mkurya!
 

Nahisi wewe sio mkurya kama kweli ni mkurya nitajie kabila lako


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Sina uhakika na kabila la wasomi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…