Katika jamii ya Tanzania, kuna makabila karibu 150. Makabila yafuatayo yanasemwa kuwa na sifa kama hivi;
1. MAKABILA YA WASOMI
Wachaga, wapare, wanyakyusa, wahaya
2. MAKABILA YENYE HASIRA
Wahehe (kujinyonga), Wakurya (kuua), Wajita
3. MAKABILA YA WAVIVU
Makabila yote mikoa ya pwani; wazaramo, wakwere, wapogoro, wazigua, wasambaa etc.
4. OMBA OMBA
Hapa wagogo wameshika namba
5. WAFANYAKAZI (wachapa kazi)
Wasukuma, Wasafwa, Wabena, wanyamwezi
6. UCHAWI na USHIRIKINA
Wafipa (Sumbawanga), Wakinga (Iringa/Njombe),
Ongeza yako unayoyafaham.
Ni ukweli usiopingika kuwa maendeleo ya mtu na jamii ni juhudi binafsi-Ukipita pita mofsini ni jambo la kawaida kukuta makabila flan flan yapo dominant-kwa haraka tu mtu waweza dhan Ah hawa watu waliijua shule mapema- nimepata kusoma Kitabu RURAL DEVELOPMENT OF TANZANIA (University Press 1975)kilicho andikwa humo we!Kila kabila hapa Tz limeandikwa humo mazuri yake na mapungufu yake-Sijui wakina Mtikila hawakupata kisoma?ndio maana kwenye main Library utakuta vikaratasi tu chenyewe hakipo.Kinaeleza jins Germans akinanin wawe manamba akinanin waende shule,Hi wapi waanzishe mashamba nk Hali hii ikarithiwa na wingereza na mpaka tunapata uhuru-Kama kweli Adui yetu ilikuwa Ujinga -Maradhi na Umasikini kwa nini basi kule amboko Watumwa walichukuliwa uwekezaji wa serikali ni kidogo.Jamani 50 yrs post UHURU.Lazima tumerithi Sera za KIKOLONI