Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Wanapenda dushe na pia wana nyege kama wanawake wengine wa dunia yote. Wanapata mimba, hawapendi kunyanyaswa na ukiwaheshimu watakuheshimu lakini ukijifanya mjuaji basi itakula kwako utaiona kila rangi ambayo hujawahi kuiona hapa duniani.

Wakuu naomba wenye ufahamu wa wanawake wa rombo anijulishe tabia nzuri walizonazo, tabia zisizofurahisha walizo nazo na je ni wafe material. Naombeni msaada
 
Wao sifa yao ya kwanza ni macho kwenye mapato na niwakali sana ukiwaletea ujinga wanaweza wakakuchinja wana hasira sana.
 
Wakuu naomba wenye ufahamu wa wanawake wa rombo anijulishe tabia nzuri walizonazo, tabia zisizofurahisha walizo nazo na je ni wafe material. Naombeni msaada
Hawa wanaitwa fuso, wanachapa kazi balaa, tatizo pesa zao nyingi wanatuma kwa wazazi. Unaweza kuoa sio wabaya
moja ya sifa ninayowajua wanayo ni ubahili, yaani wako kama wapare kwa uchungu wa pesa.
 
Wakuu naomba wenye ufahamu wa wanawake wa rombo anijulishe tabia nzuri walizonazo, tabia zisizofurahisha walizo nazo na je ni wafe material. Naombeni msaada
Mtu kama unatumia cheti cha mwenzako tulia tu
Hata ungeandika mke mwema ingeeleweka...
 
Tutajie kwanza sifa za wanawake wa kabila lako ili tuweze kufahamu tunaanzia wapi kukushauri
 
Niwataftaj sana ukiwaoa tarajia maendeleo coz sio wavivu na hawapend wanaume wavivu kusaka hela. Ukimpata MRombo furah sana
 
Ikitokea nataka kuoa mchaga nitaoa MROMBO au MU OLD MOSHI

wengine wote hawafai, wana roho mbaya, halafu wezi.
 
Ni wachakarikaji sana kuliko wanaume wao, wavumilivu(wanaweza kumlea mwanaume), watafutaji wazuri wa pesa, ni wanywaji wazuri wa pombe........
Now I see
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nitakuchapa ujue!
Taratibu tu nitajua vyote.
Mkuu au tarakea? [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…