Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

Huko Zenji nyie hamna makabila?
 
Mr.nice....mchaga
Barnaba boy...mchaga
Master jay..mchaga
Nandy...mchaga
Diamond...mchaga
Niki wa pili...mpare
Kitaulo.... Mchaga
Mshana jr...mchaga
Kifudilo...mchaga
Mbowe...mchaga
Lema... Mchaga
Basili mramba...mchaga
 
Watumbatu...wale washirikina, ni kabila hilo.
 
Mbona sioni WAMATUMBI wakina mbonde!!
Anita Ngombale - Mwiru
Presenter kipindi kinaitwa the trend
Chemical wa Kilwa so anaweza kua mmatumbi
Alaf Mbonde lipo makabila mawili matumbi na ndengereko
 
foby - mngoni

producer mr. t touch - mngoni

producer C9 kanjenje - mngoni

marehemu mangwea - mngoni

mrisho mpoto - mngoni

prof. jay - mngoni.

walter chilambo - mngoni.

marehemu D. Rob wa kwanza Unit - mngoni

jokate(aliwahi kuwa mwanamziki) - mngoni.

marehemu john komba - mngoni

cosmas chidumule - mngoni

mwanamziki wa zamani wa Rnb mr. paul - mngoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…