Twinawe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 2,431
- 5,336
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nachojua ni mzanaki. Si mkurya kama wengine wanavyofikiria
Huko Zenji nyie hamna makabila?1. Khadija Omar Kopa (khadija kopa) = Mzenji
2. Mzee Yussuf = Mzenji
3. Khadija Yussuf = Mzenji
4. Hammer Q = Mzenji
5. Ali Toli (AT) = Mzenji
6. Lil geto wa akhenato record = Mzenji
7. Nedy Music = Mzenji
8. Khalid Mohd (TID) = Mzenji
9. Issa Matona (marhum) = Mzenji
10. Omar Kopa (marhum) = Mzenji
11. Salama Jabir = Mzenji
12. Meena Ally wa clouds = Mzenji
13. Sharifa (comedian anayeishi USA) = Mzenji
14.Lamar (producer wa fish crab) = Mzenji
15. Kaliser (model) = Mzenji, japo kaloweya sana temeke kwa aziz ali.
16. Zungu (dancer wa diamond) = Mzenji
17. Feisal (fey) toto = Mzenji
18. Riyama Ally = Mzenji ila kaloweya sana dar
19. Nisha Jabu (bongomovie) = Mzenji ila kaloweya sana dar
20. Khadija Mnoga (kimobitel) = Mzenji ila kwao sidhani kama atarudi tn.
21. Jamila (baby J) = Mzenji
22. Sultan King = Mzenji
nikiwakumbuka wengine nitawalist...
1)Nandy mchaga wapele majengo kiboroloni Kb kabsaaa
2) bill nass huyu mchaga kule marangu mwika mita hiyoo ka sikosei ana broh wake anai twa amani lyimoo anapenda kumrusha sanaa utasiki "amani lyimooo what's upppppp.....!!"
Sent using Jamii Forums mobile app
Watumbatu...wale washirikina, ni kabila hilo.Generally hakuna makabila ila kuna lahaja...japo huwa kuna vijikabila ambavyo watu hujinasibisha navyo kutokana na koo za mababu zao au asili ya mababu zao...Na kimsingi wazanzibari asili ni WASHIRAZI na hili ndio kabila pekee linalotokea kwenye vyeti vyetu vya kuzaliwa.
Anita Ngombale - MwiruMbona sioni WAMATUMBI wakina mbonde!!
AY ni mnyakusya Ila baba yake alizamiaga maeneo ya Tabora na baadhi ya maeneo Tz ktk harakati za kusaka maisha . Ila asili yake ni Tukuyu Lutengano
hakuna mtu mwenye asili ya makabila ya mkoa wa iringa anaitwa haule.
ni kweli, kiasili mbilinyi ni wangoni. ila wapo mbilinyi wapangwa wakitokea wilaya ya ludewa mkoa wa iringa.
Wazinza wanajidai wasukuma.Ivi Goodluck Gozbet ni Msukuma au katokea Mwanza tu au ni Mzinza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks kakahakuna mtu mwenye asili ya makabila ya mkoa wa iringa anaitwa haule.
ukiona hivyo ujue wazazi wake walihamia wakitokea mkoa wa ruvuma.