Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

Muikizu kabila moja na Steven Wassira hilo kabila linapatikana Wilayani Bunda
Huyo si kasoma kibala kuna majina mfano wambura,magesa utayakuta kwa wajita wakurya waikizu..... Nafikiri kabila anajua muhusika mwenyewe
 
Jux na unyamwezi wote huo kumbe mmakonde ndo ajiachie kma konde boy tu
 
Hivi Zanzibar kuna kabila ngapi? Au wote "Wazenji"?
Generally hakuna makabila ila kuna lahaja...japo huwa kuna vijikabila ambavyo watu hujinasibisha navyo kutokana na koo za mababu zao au asili ya mababu zao...Na kimsingi wazanzibari asili ni WASHIRAZI na hili ndio kabila pekee linalotokea kwenye vyeti vyetu vya kuzaliwa.
 
Ri
Dah nilikuwa najuaga Riyama Ally ni mdigo wa Tanga KUMBE mzenji?

Anyways TID NI Mmakonde . Mama.ake.ndio Mngazija
Riyama labda yupo kote kote..ila niliwahi kumsikia akisema kwao ni zenji...

Kuhusu TID basi nazani huyo mama yake ni wale wangazija wa zanzibar...
 
Baba yako kwa sababu anazozijui yeye amekupotosha..Mjomba kuwa na nguvu kwa hayo maeneo ni katika ushauri na malezi tu ktk kumsaidia dada yao na haina uhusiano na urithi or something..wewe kuwa msukuma ni haki yako !! .. inaoenekana umekuzwa ku hate upande wa mama... .!! .. na hilo ndio tatizo la wasukuma!..
Tokea utoto wangu nimekuwa nikijitambulisha kwa kabila la upande wa mama. Siifahamu hata lugha ya kisukuma, nimeenda huko usukumani kama mara 3 tu maishani kwangu, lakini binaenda ujombani na kuielewa lugha yao.

Nilipokuja kujitambua na kujitafakari, niliona baba yangu yupo sahihi. Nina ndugu, watoto wa mama wadogo waliofata mila za ujombani, kunemwa and the likes, maisha yao hayaeleweki kabisa. Baba yangu alikuwa mkali na habari za mila hata za kisukuma (maana huwa wanaoza mabinti wakiwa wadogo), kwa sasa naelewa alikuwa akinilinda binti yake.

Wakati zamani nilikuwa nauficha usukuma wangu kwa kuhofia kuonekana wa kuja/ mshamba, kwa sasa I am proud kuwa msukuma. Wasukuma wana mapungufu yao, ila nafuraha ile hali ya mzee wa kaya kuwa fina decision maker kwa mambo anayoyaamini yeye ni bora kwa familia.
 
1)Nandy mchaga wapele majengo kiboroloni Kb kabsaaa

2) bill nass huyu mchaga kule marangu mwika mita hiyoo ka sikosei ana broh wake anai twa amani lyimoo anapenda kumrusha sanaa utasiki "amani lyimooo what's upppppp.....!!"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom