[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna Mlugulu na Mzaramo hapo ni Gundi na Karatasi.
Kuna Mkurya na Mnyakyusa baba hapo ni Chuma na Sumaku.
Kuna Mnyamwezi na Mngoni baba hapo ni Upele na Mkunaji hatoboi mtu.
Kuna Ile ya MUHA na Mhaya hapo ni V8 na Diesel hapindui meza
Na kuna ile ya MCHAGA na mme Tajiri hapo ni kama kusukuma mlevi mkuu.
hao ni watu poa sana, kama wewe ni msukuma au mnyamwezi yani hapo ni best match, ila kabila lolote linaoa hasa yale ya kanda ya Kati na kaskazini.Mkuu embu nipe abcd la hili kabil la wandali au wanyia wa songwe Ni watu wanamna gani Hawa mnk Niko natak kufanya decision making nimpe nafsi au niingie mitini tu
Mnyakyusa na mchaga amebugiWachaga vs wanyakyusa
Hizi ndoa wazazi wakinyakyusa wanazipinga sana ....mtoto wao kuoa au kuolewa na wachaga ..........nadhani sababu inajulikana
Hata Mimi nikiwa mzazi.....ntakataa hizi ndoa
Watu wa pwan tunakula makabila yote!na hakuna mushkeli sisi ni wazee wa kusample tu viuno vya watafunwaSina maana ya ukabila ila elimu ndogo kwenye mambo ya mahusiano unapaswa kuzingatia.
kuna baadhi ya makabila yakioana ndoa huwa n
a furaha na kudumu zaidi. Hii inatokana na utamaduni na dini/imani wengi wa kabila fulani kuwa na vitu ambayo vinafanya mtu wa kabila lingine kufurahishwa nao kulingana na matakwa ya tamaduni yake.
Utafiti huu unaleta matokeo kwa asilimia kubwa lakini siyo mara zote itakuwa hivyo kwani inaweza kuwa kinyume chake.
Makila yanayoendana Kuoana
Mkurya na Mrangi, msingida, mpwani .
mchaga na mrangi, msingida, masai, mbulu, tanga.
hehe na mrangi, ngoni, manda, nyasa, tanga, chaga.
sukuma na mgogo, nyamwezi, kurya.
mmakonde na kurya, ngoni.
mnyakyusa na chaga, kinga, bena.
muha na mrangi, pwani na tanga.
muhaya na sukuma, nyamwezi .
mpare na mrangi, singida na tanga.
NB. jina la mkoa maana yake makala yote ya mkoa huo.
sandawe na makabila yote isipokuwa Zenji, singida na Dodoma.
Makabila Ambayo hayaendani kabisa.
mbara na mzenji.
mgogo na hehe
mkurya na mngoleme, mhehe
mchaga na mpare.
masai na mbulu/Iraqwi
chaga na gogo
haya na chaga, kurya, gogo.
Zingatia ushauri huu atakama nimewasilisha kama na ruka kichurachura ila jitahidi kuelewa.
Tatizo wanyakyusa wanachukuliwa kama jumla ya wasafa na makabila mengine ya hapo Mbeya.Mnyakyusa na Mchaga
Zamani wazazi wakinga kijana wao akichelewa kuoa utasikia basi oa hata mnyakyusaMnyakyusa na Msukuma kwa namna yoyote ile familia yao ina furaha.
Mnyakyusa na Mhaya
Mnyakyusa na Mchaga
Mnyakyusa na Mkinga/Mbena?!! Ngumu kumeza, japo ni majirani na ni ndugu...
Nakwambia hizo ndoa zinazobahatika kuendana zinakuwa vizuri sana. Ni chache lakini zinapeta mno, wao wenyewe hawapendi sana kuoanaWachagga hawaprndi kuwa controlled ndio maana wengi wanabiashara zao na miradi yao...au wanasoma kuclimb leader haraka...ukiwakuta kwenye hiyo combination ujue ni very beneficial mzee...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zamani wazazi wakinga kijana wao akichelewa kuoa utasikia basi oa hata mnyakyusa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tatizo mnyakyusa anajiona keki wakati ni makande tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mgogoro wa haya makabila hauwezi kuisha, hali ni mbaya zaidi baada ya Mkinga kuwa na kipato kikubwa kuliko Mnyakyusa.
Mambo ni yale yale Mnyakyusa na Msafwa.
Oa kwenu mnakotokaSina maana ya ukabila ila elimu ndogo kwenye mambo ya mahusiano unapaswa kuzingatia.
kuna baadhi ya makabila yakioana ndoa huwa n
a furaha na kudumu zaidi. Hii inatokana na utamaduni na dini/imani wengi wa kabila fulani kuwa na vitu ambayo vinafanya mtu wa kabila lingine kufurahishwa nao kulingana na matakwa ya tamaduni yake.
Utafiti huu unaleta matokeo kwa asilimia kubwa lakini siyo mara zote itakuwa hivyo kwani inaweza kuwa kinyume chake.
Makila yanayoendana Kuoana
Mkurya na Mrangi, msingida, mpwani .
mchaga na mrangi, msingida, masai, mbulu, tanga.
hehe na mrangi, ngoni, manda, nyasa, tanga, chaga.
sukuma na mgogo, nyamwezi, kurya.
mmakonde na kurya, ngoni.
mnyakyusa na chaga, kinga, bena.
muha na mrangi, pwani na tanga.
muhaya na sukuma, nyamwezi .
mpare na mrangi, singida na tanga.
NB. jina la mkoa maana yake makala yote ya mkoa huo.
sandawe na makabila yote isipokuwa Zenji, singida na Dodoma.
Makabila Ambayo hayaendani kabisa.
mbara na mzenji.
mgogo na hehe
mkurya na mngoleme, mhehe
mchaga na mpare.
masai na mbulu/Iraqwi
chaga na gogo
haya na chaga, kurya, gogo.
Zingatia ushauri huu atakama nimewasilisha kama na ruka kichurachura ila jitahidi kuelewa.
Kuna tabia ambazo ni genetic,hili ni scientific halibishaniwi!Wewe kama unaamini karne hii kuwa tabia ya mtu inaamuliwa na kabila lake basi wewe ni wa kusikitiwa
With that,sio sifa kama unavyodhaniWatu wa pwan tunakula makabila yote!na hakuna mushkeli sisi ni wazee wa kusample tu viuno vya watafunwa
Kuna tabia ambazo ni genetic,hili ni scientific halibishaniwi!
Then,kama ni hivyo,basi ni fact kwamba kabila ni muunganiko wa watu wenye high level ya genetic resemblance maana ni uzao mmoja
Therefore kabila fulani kuna na tabia fulani zaidi ya jingine ni more pronounced as we see today.
Kwanini mbulu are best runners?Kwanini Kurya are the best soldiers?Why Chagga are the best businessmen?Why Zanzibaris are the best politicians?Why Haya are the best academicians?etc
Kabila is a group of people with the same origin,they share genetics,they have tabias of which are predisposed to do more than others.
Makabila yanatofautiana tabia,kama ulikua hujui na ujue leo....wewe oa oa kis3ng3 ndio utie akili sawasawa....Oa kwenu acha kukimbia kwenu,nao wanahitaji kuoelewa kama hao unaowakimbilia kwa sababu hafifu namna hii
Mapenzi ni kwa yeyoteMapenzi hayana kabila kama ambavyo hayana fomula
Kama ni hivyo, basi tukubaliane hapa kuwa hakuna makabila yanayoenda kiasi kwamba wakifunga ndoa hudumu maana nao pia husaini mkataba.Mapenzi ni kwa yeyote
Kuoa ni political decision na sio love decision...ndio maana kuna mikataba ya ndoa na sheria na watu kufungwa
Ingekua ni "mapenzi" kama unavyojidanganya hapa kusingekua na "mikataba" wala sheria wala mtu kufungwa!
Kitu kishakua na "mkataba" yaani mahali pa kusaini,na ikatungiwa sheria basi hakuna element ya "mapenzi" hapo ni "policitics" ambapo hakuna kuaminiana
Mapenzi hayachagua yes,unaweza tomba yeyote dunia hii...ila kuoa,kuna pa kusaini,ambapo hakuna kuaminiana to begin with
Stop these illusions wewe
MkuuKama ni hivyo, basi tukubaliane hapa kuwa hakuna makabila yanayoenda kiasi kwamba wakifunga ndoa hudumu maana nao pia husaini mkataba.