Makabila yanayoendana wakioana na ndoa ikadumu

Makabila yanayoendana wakioana na ndoa ikadumu

Kuna Mlugulu na Mzaramo hapo ni Gundi na Karatasi.

Kuna Mkurya na Mnyakyusa baba hapo ni Chuma na Sumaku.

Kuna Mnyamwezi na Mngoni baba hapo ni Upele na Mkunaji hatoboi mtu.

Kuna Ile ya MUHA na Mhaya hapo ni V8 na Diesel hapindui meza

Na kuna ile ya MCHAGA na mme Tajiri hapo ni kama kusukuma mlevi mkuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Umesherehesha kitaalamu sana
 
2022 mnazungumzia ukabila??.dunia ya Google Bado hamuijui nyie
 
Mkuu embu nipe abcd la hili kabil la wandali au wanyia wa songwe Ni watu wanamna gani Hawa mnk Niko natak kufanya decision making nimpe nafsi au niingie mitini tu
hao ni watu poa sana, kama wewe ni msukuma au mnyamwezi yani hapo ni best match, ila kabila lolote linaoa hasa yale ya kanda ya Kati na kaskazini.
 
Wachaga vs wanyakyusa

Hizi ndoa wazazi wakinyakyusa wanazipinga sana ....mtoto wao kuoa au kuolewa na wachaga ..........nadhani sababu inajulikana

Hata Mimi nikiwa mzazi.....ntakataa hizi ndoa
Mnyakyusa na mchaga amebugi
 
Sina maana ya ukabila ila elimu ndogo kwenye mambo ya mahusiano unapaswa kuzingatia.

kuna baadhi ya makabila yakioana ndoa huwa n

a furaha na kudumu zaidi. Hii inatokana na utamaduni na dini/imani wengi wa kabila fulani kuwa na vitu ambayo vinafanya mtu wa kabila lingine kufurahishwa nao kulingana na matakwa ya tamaduni yake.
Utafiti huu unaleta matokeo kwa asilimia kubwa lakini siyo mara zote itakuwa hivyo kwani inaweza kuwa kinyume chake.

Makila yanayoendana Kuoana
Mkurya na Mrangi, msingida, mpwani .

mchaga na mrangi, msingida, masai, mbulu, tanga.

hehe na mrangi, ngoni, manda, nyasa, tanga, chaga.

sukuma na mgogo, nyamwezi, kurya.

mmakonde na kurya, ngoni.
mnyakyusa na chaga, kinga, bena.

muha na mrangi, pwani na tanga.

muhaya na sukuma, nyamwezi .

mpare na mrangi, singida na tanga.
NB. jina la mkoa maana yake makala yote ya mkoa huo.
sandawe na makabila yote isipokuwa Zenji, singida na Dodoma.

Makabila Ambayo hayaendani kabisa.
mbara na mzenji.
mgogo na hehe
mkurya na mngoleme, mhehe
mchaga na mpare.
masai na mbulu/Iraqwi
chaga na gogo
haya na chaga, kurya, gogo.

Zingatia ushauri huu atakama nimewasilisha kama na ruka kichurachura ila jitahidi kuelewa.
Watu wa pwan tunakula makabila yote!na hakuna mushkeli sisi ni wazee wa kusample tu viuno vya watafunwa
 
Wachagga hawaprndi kuwa controlled ndio maana wengi wanabiashara zao na miradi yao...au wanasoma kuclimb leader haraka...ukiwakuta kwenye hiyo combination ujue ni very beneficial mzee...
Nakwambia hizo ndoa zinazobahatika kuendana zinakuwa vizuri sana. Ni chache lakini zinapeta mno, wao wenyewe hawapendi sana kuoana
 
Zamani wazazi wakinga kijana wao akichelewa kuoa utasikia basi oa hata mnyakyusa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mgogoro wa haya makabila hauwezi kuisha, hali ni mbaya zaidi baada ya Mkinga kuwa na kipato kikubwa kuliko Mnyakyusa.
Mambo ni yale yale Mnyakyusa na Msafwa.
 
Sina maana ya ukabila ila elimu ndogo kwenye mambo ya mahusiano unapaswa kuzingatia.

kuna baadhi ya makabila yakioana ndoa huwa n

a furaha na kudumu zaidi. Hii inatokana na utamaduni na dini/imani wengi wa kabila fulani kuwa na vitu ambayo vinafanya mtu wa kabila lingine kufurahishwa nao kulingana na matakwa ya tamaduni yake.
Utafiti huu unaleta matokeo kwa asilimia kubwa lakini siyo mara zote itakuwa hivyo kwani inaweza kuwa kinyume chake.

Makila yanayoendana Kuoana
Mkurya na Mrangi, msingida, mpwani .

mchaga na mrangi, msingida, masai, mbulu, tanga.

hehe na mrangi, ngoni, manda, nyasa, tanga, chaga.

sukuma na mgogo, nyamwezi, kurya.

mmakonde na kurya, ngoni.

mnyakyusa na chaga, kinga, bena.

muha na mrangi, pwani na tanga.

muhaya na sukuma, nyamwezi .

mpare na mrangi, singida na tanga.
NB. jina la mkoa maana yake makala yote ya mkoa huo.

sandawe na makabila yote isipokuwa Zenji, singida na Dodoma.

Makabila Ambayo hayaendani kabisa.
mbara na mzenji.
mgogo na hehe
mkurya na mngoleme, mhehe
mchaga na mpare.
masai na mbulu/Iraqwi
chaga na gogo
haya na chaga, kurya, gogo.

Zingatia ushauri huu atakama nimewasilisha kama na ruka kichurachura ila jitahidi kuelewa.
Oa kwenu mnakotoka

Umegeuza kuoa ni formula maalumu ya kumix makabila?

Yaani utaishije kwa eti formulae maalumu ya ku-determine kabilas?

Oa kwenu acha kuruka ruka....na kwenu pia they deserve to be married
 
Wewe kama unaamini karne hii kuwa tabia ya mtu inaamuliwa na kabila lake basi wewe ni wa kusikitiwa
Kuna tabia ambazo ni genetic,hili ni scientific halibishaniwi!

Then,kama ni hivyo,basi ni fact kwamba kabila ni muunganiko wa watu wenye high level ya genetic resemblance maana ni uzao mmoja

Therefore kabila fulani kuna na tabia fulani zaidi ya jingine ni more pronounced as we see today.

Kwanini mbulu are best runners?Kwanini Kurya are the best soldiers?Why Chagga are the best businessmen?Why Zanzibaris are the best politicians?Why Haya are the best academicians?etc

Kabila is a group of people with the same origin,they share genetics,they have tabias of which are predisposed to do more than others.

Makabila yanatofautiana tabia,kama ulikua hujui na ujue leo....wewe oa oa kis3ng3 ndio utie akili sawasawa....Oa kwenu acha kukimbia kwenu,nao wanahitaji kuoelewa kama hao unaowakimbilia kwa sababu hafifu namna hii
 
Watu wa pwan tunakula makabila yote!na hakuna mushkeli sisi ni wazee wa kusample tu viuno vya watafunwa
With that,sio sifa kama unavyodhani

Wapwani wote mnapotea,it is a matter of time tu....

Upo humu kushabikia upumbavu na huoni damage ya upumbavu mnaofanya?

Kwanza mpo landless,then by assimilation wote mmemezwa,in 10 years no such thing as a Mpwani,y'all be gone....

Unakenua tu hata hujui madhara yake,...no survival,you will be genetically wiped out!
 
Kuna tabia ambazo ni genetic,hili ni scientific halibishaniwi!

Then,kama ni hivyo,basi ni fact kwamba kabila ni muunganiko wa watu wenye high level ya genetic resemblance maana ni uzao mmoja

Therefore kabila fulani kuna na tabia fulani zaidi ya jingine ni more pronounced as we see today.

Kwanini mbulu are best runners?Kwanini Kurya are the best soldiers?Why Chagga are the best businessmen?Why Zanzibaris are the best politicians?Why Haya are the best academicians?etc

Kabila is a group of people with the same origin,they share genetics,they have tabias of which are predisposed to do more than others.

Makabila yanatofautiana tabia,kama ulikua hujui na ujue leo....wewe oa oa kis3ng3 ndio utie akili sawasawa....Oa kwenu acha kukimbia kwenu,nao wanahitaji kuoelewa kama hao unaowakimbilia kwa sababu hafifu namna hii

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mapenzi hayana kabila kama ambavyo hayana fomula
Mapenzi ni kwa yeyote

Kuoa ni political decision na sio love decision...ndio maana kuna mikataba ya ndoa na sheria na watu kufungwa

Ingekua ni "mapenzi" kama unavyojidanganya hapa kusingekua na "mikataba" wala sheria wala mtu kufungwa!

Kitu kikishakua na "mkataba" yaani mahali pa kusaini,na ikatungiwa sheria basi hakuna element ya "mapenzi" hapo ni "politics" ambapo hakuna kuaminiana

Mapenzi hayachagui kweli,unaweza tomba yeyote dunia hii...ila kuoa,ambapo kuna pa kusaini,ambapo hakuna kuaminiana element ya mapenzi weka pembeni

Stop these illusions wewe
 
Mapenzi ni kwa yeyote

Kuoa ni political decision na sio love decision...ndio maana kuna mikataba ya ndoa na sheria na watu kufungwa

Ingekua ni "mapenzi" kama unavyojidanganya hapa kusingekua na "mikataba" wala sheria wala mtu kufungwa!

Kitu kishakua na "mkataba" yaani mahali pa kusaini,na ikatungiwa sheria basi hakuna element ya "mapenzi" hapo ni "policitics" ambapo hakuna kuaminiana

Mapenzi hayachagua yes,unaweza tomba yeyote dunia hii...ila kuoa,kuna pa kusaini,ambapo hakuna kuaminiana to begin with

Stop these illusions wewe
Kama ni hivyo, basi tukubaliane hapa kuwa hakuna makabila yanayoenda kiasi kwamba wakifunga ndoa hudumu maana nao pia husaini mkataba.
 
Kama ni hivyo, basi tukubaliane hapa kuwa hakuna makabila yanayoenda kiasi kwamba wakifunga ndoa hudumu maana nao pia husaini mkataba.
Mkuu

Kama kweli watu wanapendana,ni mapenzi ya kweli,element ya mkataba inatoka wapi?Na element ya kutungia sheria inatoka wapi?

Ukishaweka mkataba na sheria tayari inakua ni biashara hiyo....element ya "mapenzi" ni ujinga uliopo vichwani mwao tu....

Nachojua,by research,ndoa ina higher possibility ya kuduma zaidi iwapo wana ndoa wanafanana,yaani wanashare culture,race,origins.......

Ndio maana ndoa za kabila moja by average zinadumu zaidi ya zingine....sio zote,ni by average...there is a strong reason for this!
 
Back
Top Bottom