Makabila yanayopatikana Morogoro na wilaya yanakopatikana

Ngoja nianze 'Kuwakaza' Mademu zao Mmoja baada ya mwingine na nikimaliza nitawapeni mrejesho ni Mademu wa Kabila lipi ( gani ) ndiyo Watamu zaidi.
 
Wasukuma umewasahau..shame on you.

#MaendeleoHayanaChama
 
Yah [emoji23]wavidunda wanaishi hasa mlimani , kilombero road watata Sana hao
 
Mm Nduguyo!
Fuko
 
Na Mkuyuni pia WALUGURU wamejaa
Kilosa wenyeji hasa ni wasagara, wakaguru na wavidunda ambao wanapatikana hasa pale KIDODI
Kwa waluguru kuwa ni wenyeji wa kilosa hapo umetuokota waluguru wanapatikana hasa wilaya yao mama yenye asili yao Huko MOROGORO VIJIJINI. matombo , kolelo nk
 
Mkuu sema kweli!
Nlikuwa sijapatapo kuiskia hii story pamoja na kuwa Mzawa wa Morogoro
 
Umesahau makabila yafuatayo:-
1. Wandwewe.
2. Wangindo
3. Wabenamanga
 
Umesahau makabila yafuatayo:-
1. Wandwewe.
2. Wangindo
3. Wabenamanga
Shukrani mkuu kwa nyongeza, wangindo wanapatikana Kilosa. Hivi kuna tofauti Kati ya Wabena na Wabena manga? Nadhani kiuhalisia moro inatakiwa kuwa namba moja kwa kuwa na MAKABILA mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…