Makabila yanayopatikana Morogoro na wilaya yanakopatikana

Makabila yanayopatikana Morogoro na wilaya yanakopatikana

Wabena manga ndio Waluguru. Wabena, Kinga na Wahehe ndio wamezaa Waluguru. Kwa Mfano Majina kama Luvanda ni Kibena lakini Kiluguru ni Luwanda, Kibiki ni Mbiki Kiluguru, Mwenda kibena na Mwenda Kiluguru, Mabena kibena na Mbena au Kibena Kiluguru, Mgera Kibena na Mgera Kiluguru, Mzeru Kihehe na Mzeru Kiluguru, Anofu Kibena na Anogha. Kisaki Kinga na Kisaki Kiluguru, Fungo Kinga na Fungo Kiluguru. Kwahiyo Waluguru ni Wabena waliopotea. Wakaguru ni Mchanganyiko wa Waluguru na Wagogo. Wapogoro ni Mchanganyiko wa Waluguru na Wandendeule wa Namtumbo Songea.
Asante kwa shule.
 
Morogoro ni mkoa mojawapo wenye MAKABILA mengi hapa nchini. Zifuatazo ni wilaya na MAKABILA yake

1. Halmashauri ya Morogoro: Hii wilaya maarufu kama Morogoro Vijijini, makabila yanayopatikana ni; Waluguru, Wakwere, Wakutu, na Wazaramo

2. Morogoro Mjini: Hapa wenyeji ni Waluguru.

3. Wilaya ya Kilosa: Wenyeji hapa ni Waluguru, Wakaguru, Wasagara, na Wazigua japo sio wengi, Wavidunda,

4. Mvomero: Waluguru, Wazigua (Wazigua wanapatikana kwa wingi hasa Turiani), Wasagara.

5. Kilombero; Wanapatikana Wandamba, Wapogoro, Wambunga, Wabena ( wanapatikana eneo kunaitwa Mbingu Ifakara)

6. Ulanga; Wapogoro

7. Malinyi; wanapatika Wapogoro na Wandamba .

Kama kuna kabila nimelisahau nitashukuru mkinikumbusha... maana Morogoro kuna makabila mengi na mengine sio maarufu sana. Ahsanteni
Hili litasadia aje nnchi kupiga hatua watu wa Moro wanajiona Rai special Sana Kuna Yule mavi wa clous fm farhani kil siku kuimbamba Moro alfu fika Sasa Moro uone ushirikina wa kiluguru
 
Ni halmashauri ya gairo, wilaya ya Kilosa...japo sina utaalam tofauti ya halmashauri na wilaya
Kuna wilaya zina halmashauri mbili

Mfano bagamoyo Ina halmashauri za chalinze na bagamoyo.

LUSHOto Ina halmashauri za lushoto na bumbuli
 
Halafu wanawake wao wanaongea Kama redio lakini hawaongei point. Ni nonsense mwanzo mwisho.
Watu mnaoishi nyumba za kupanga, mkishinda na waswahili wenzenu wa kiluguru mnaona waluguru wote waswahili waswahili. Kumbe tupe waluguru wenye uzungu mwingi
 
Namaanisha Wapogoro wala sijakosea...

Nimeishi mitaa walau miwili yenye Wapogoro, mtaa mmoja ulikuwa na kaya tatu, mtaa mwingine kaya mbili...

Kwanza wanazaliana kishenzi, wanapenda kujumuika kwenye baraza au sehemu ya mbele ya nyumba na kuanza kusimanga watu wa mtaani, wakorofi wa mipaka na wanapenda ulozi...
Umetufananisha na wazaramo ndugu.Mpogolo hayupo dar,mpogolo yuko Ulanga,kilombelo na malinyi
 
Masai na Sukuma kwa kilosa, Malinyi na Ulanga ndiyo majority
Wahamiaji haramu hai.Wanatusumbua sana hao.Tangu wake kila siku migogoro ya wakulima na wahamiaji haramu(wafugaji)
 
Hili litasadia aje nnchi kupiga hatua watu wa Moro wanajiona Rai special Sana Kuna Yule mavi wa clous fm farhani kil siku kuimbamba Moro alfu fika Sasa Moro uone ushirikina wa kiluguru
Wivu tu
 
Morogoro ni mkoa mojawapo wenye MAKABILA mengi hapa nchini. Zifuatazo ni wilaya na MAKABILA yake

1. Halmashauri ya Morogoro: Hii wilaya maarufu kama Morogoro Vijijini, makabila yanayopatikana ni; Waluguru, Wakwere, Wakutu, na Wazaramo

2. Morogoro Mjini: Hapa wenyeji ni Waluguru.

3. Wilaya ya Kilosa: Wenyeji hapa ni Waluguru, Wakaguru, Wasagara, na Wazigua japo sio wengi, Wavidunda,

4. Mvomero: Waluguru, Wazigua (Wazigua wanapatikana kwa wingi hasa Turiani), Wasagara.

5. Kilombero; Wanapatikana Wandamba, Wapogoro, Wambunga, Wabena ( wanapatikana eneo kunaitwa Mbingu Ifakara)

6. Ulanga; Wapogoro

7. Malinyi; wanapatika Wapogoro na Wandamba .

Kama kuna kabila nimelisahau nitashukuru mkinikumbusha... maana Morogoro kuna makabila mengi na mengine sio maarufu sana. Ahsanteni
Mm hata sijui makabila ya huko yan
 
Back
Top Bottom