Makabila yanayopatikana Morogoro na wilaya yanakopatikana

Makabila yanayopatikana Morogoro na wilaya yanakopatikana

Kilosa wenyeji hasa ni wasagara, wakaguru na wavidunda ambao wanapatikana hasa pale KIDODI
Kwa waluguru kuwa ni wenyeji wa kilosa hapo umetuokota waluguru wanapatikana hasa wilaya yao mama yenye asili yao Huko MOROGORO VIJIJINI. matombo , kolelo nk
Wavidunda base yao iko kata ya vidunda,yenye vijiji vya chonwe,udung'u,itembe na vidunda yenyewe.kidodi hua wanaenda gulioni tu mkuu
 
daaah…Ifakara mbingu mngeta.Chita …pale mbingu ndz kama zote
 
Morogoro ni mkoa mojawapo wenye MAKABILA mengi hapa nchini. Zifuatazo ni wilaya na MAKABILA yake

1. Halmashauri ya Morogoro: hii wilaya maarufu kama Morogoro Vijijini, makabila yanayopatikana ni; Waluguru, Wakwere, Wakutu, na Wazaramo

2. Morogoro Mjini: hapa wenyeji ni Waluguru.

3. Wilaya ya Kilosa: Wenyeji hapa ni Waluguru, Wakaguru, Wasagara, na Wazigua japo sio wengi, Wavidunda,

4. Mvomero: Waluguru, Wazigua (Wazigua wanapatikana kwa wingi hasa Turiani), Wasagara.

5. Kilombero; Wanapatikana Wandamba, Wapogoro, Wambunga, Wabena ( wanapatikana eneo kunaitwa Mbingu Ifakara)

6. Ulanga; Wapogoro

7. Malinyi; wanapatika Wapogoro na Wandamba .

Kama kuna kabila nimelisahau nitashukuru mkinikumbusha...maana morogoro kuna makabila mengi na mengine sio maarufu sana. Ahsanteni
Ulanga pia kuna Wangindo wa kutosha bila kusahau Wamwera pia
 
Wavidunda hatari Sana hao watu. Waligoma kuhama kupisha ujenzi wa bwawa la Kidatu wakahamia milimani wakafanya yao Hadi serikali kupitia Tanesco ikaingia nao mkataba. Inawasafirisha mara 2 Kila wiki kwenda mjini kupeleka mazao Yao Sokoni na kuwarudisha jioni, matibabu bure.
Umenikumbusha kisa ch Wanyamwanga wa Mbeya
 
Shika adabu yako, utakuwa unawafananisha wapogoro na waluguru.

Namaanisha Wapogoro wala sijakosea...

Nimeishi mitaa walau miwili yenye Wapogoro, mtaa mmoja ulikuwa na kaya tatu, mtaa mwingine kaya mbili...

Kwanza wanazaliana kishenzi, wanapenda kujumuika kwenye baraza au sehemu ya mbele ya nyumba na kuanza kusimanga watu wa mtaani, wakorofi wa mipaka na wanapenda ulozi...
 
Au wapogoro wa dar hao?
 
Wabena manga ndio Waluguru. Wabena, Kinga na Wahehe ndio wamezaa Waluguru. Kwa Mfano Majina kama Luvanda ni Kibena lakini Kiluguru ni Luwanda, Kibiki ni Mbiki Kiluguru, Mwenda kibena na Mwenda Kiluguru, Mabena kibena na Mbena au Kibena Kiluguru, Mgera Kibena na Mgera Kiluguru, Mzeru Kihehe na Mzeru Kiluguru, Anofu Kibena na Anogha. Kisaki Kinga na Kisaki Kiluguru, Fungo Kinga na Fungo Kiluguru. Kwahiyo Waluguru ni Wabena waliopotea. Wakaguru ni Mchanganyiko wa Waluguru na Wagogo. Wapogoro ni Mchanganyiko wa Waluguru na Wandendeule wa Namtumbo Songea.
Na vipi kuhusu wavidunda? Naona kama kuna mambo mengi tunafanana
 
Wavidunda hatari Sana hao watu. Waligoma kuhama kupisha ujenzi wa bwawa la Kidatu wakahamia milimani wakafanya yao Hadi serikali kupitia Tanesco ikaingia nao mkataba. Inawasafirisha mara 2 Kila wiki kwenda mjini kupeleka mazao Yao Sokoni na kuwarudisha jioni, matibabu bure.
Correct!
 
Shukrani mkuu kwa nyongeza, wangindo wanapatikana Kilosa. Hivi kuna tofauti Kati ya Wabena na Wabena manga? Nadhani kiuhalisia moro inatakiwa kuwa namba moja kwa kuwa na MAKABILA mengi
Hapana, mkoa wa Mara ndiyo unaongoza kwa makabira mengi.
 
Back
Top Bottom