Kiuhalisia nyingi ni Kama koo. Mfano wandwewe wana ukaribu na Wangoni. Hali kadhalika Wabenamanga na Wabena.Shukrani mkuu kwa nyongeza, wangindo wanapatikana Kilosa. Hivi kuna tofauti Kati ya Wabena na Wabena manga? Nadhani kiuhalisia moro inatakiwa kuwa namba moja kwa kuwa na MAKABILA mengi
Hapa sina hakika sana, ila wagogo na Wakaguru ni kama wa moja tuKumbe Wagogo ndio walioyazaa Makabila ya Kikaguru na Waluguru?
Fuko au mkoba au nyawale..KWA mgima ?Mm Nduguyo!
Fuko
Hapo sawa ukipita mahenge mjini kwenda mwaya unaweza fika songea na kuna wangoni pia,Kiuhalisia nyingi ni Kama koo. Mfano wandwewe wana ukaribu na Wangoni. Hali kadhalika Wabenamanga na Wabena.
Safi sana, tena panapendezaMoro.safiii
Ina maana hta wajaluo hawaingii ndani?Hakuna kabila lenye roho mbaya dunianikama wasagara
Wabena manga ndio Waluguru. Wabena, Kinga na Wahehe ndio wamezaa Waluguru. Kwa Mfano Majina kama Luvanda ni Kibena lakini Kiluguru ni Luwanda, Kibiki ni Mbiki Kiluguru, Mwenda kibena na Mwenda Kiluguru, Mabena kibena na Mbena au Kibena Kiluguru, Mgera Kibena na Mgera Kiluguru, Mzeru Kihehe na Mzeru Kiluguru, Anofu Kibena na Anogha. Kisaki Kinga na Kisaki Kiluguru, Fungo Kinga na Fungo Kiluguru. Kwahiyo Waluguru ni Wabena waliopotea. Wakaguru ni Mchanganyiko wa Waluguru na Wagogo. Wapogoro ni Mchanganyiko wa Waluguru na Wandendeule wa Namtumbo Songea.Shukrani mkuu kwa nyongeza, wangindo wanapatikana Kilosa. Hivi kuna tofauti Kati ya Wabena na Wabena manga? Nadhani kiuhalisia moro inatakiwa kuwa namba moja kwa kuwa na MAKABILA mengi
Kwa sasa na wasukuma nao wameingia huko Malinyi halafu Upande wa Ulanga kwenye maeneo kama Sali, Ruaha na Mwaya kuna hadi wangindo from Lindi.Morogoro ni mkoa mojawapo wenye MAKABILA mengi hapa nchini. Zifuatazo ni wilaya na MAKABILA yake
1. Halmashauri ya Morogoro: hii wilaya maarufu kama Morogoro Vijijini, makabila yanayopatikana ni; Waluguru, Wakwere, Wakutu, na Wazaramo
2. Morogoro Mjini: hapa wenyeji ni Waluguru.
3. Wilaya ya Kilosa: Wenyeji hapa ni Waluguru, Wakaguru, Wasagara, na Wazigua japo sio wengi, Wavidunda,
4. Mvomero: Waluguru, Wazigua (Wazigua wanapatikana kwa wingi hasa Turiani), Wasagara.
5. Kilombero; Wanapatikana Wandamba, Wapogoro, Wambunga, Wabena ( wanapatikana eneo kunaitwa Mbingu Ifakara)
6. Ulanga; Wapogoro
7. Malinyi; wanapatika Wapogoro na Wandamba .
Kama kuna kabila nimelisahau nitashukuru mkinikumbusha...maana morogoro kuna makabila mengi na mengine sio maarufu sana. Ahsanteni
Ila sio omba omba kama watu wa Dodoma pamoja na huo uvivu wao.Waluguru ni wavivu sana
Waluguru ni wazaramo waliobadili jina.Kumbe Wagogo ndio walioyazaa Makabila ya Kikaguru na Waluguru?
Wamejaa Malinyi, Iragua na Sofi.Hao watani zetu tunawaita wabara ( wakuja) sio wenyeji wa asili wa morogoro japo KWA idadi ni wengi sana. Hasa kisaki, mvua na ifakara
Ukitaka kwenda Songea unapita Malinyi sio Mahenge, ukipita Mahenge utajikuta upo Mtwara au Lindi.Hapo sawa ukipita mahenge mjini kwenda mwaya unaweza fika songea na kuna wangoni pia,
Wapogoro ni Mchanganyiko wa Waluguru na Wandendeule wa Namtumbo Songea.
Wavivu kwenye kazi ila kukatika hakuna wa kufanana naoWaluguru ni wavivu sana
Wandamba nao ni kama cherahani ya singerWapogoro wanaongea kama cherehani, na wana mambo ya kiswahili swahili kama Wazaramo vile
Wote wale wale tu hata Wapogoro uswahili mwingiWapogoro wanaongea kama cherehani, na wana mambo ya kiswahili swahili kama Wazaramo vile