Makabila yanayopatikana Morogoro na wilaya yanakopatikana

Kilosa wenyeji hasa ni wasagara, wakaguru na wavidunda ambao wanapatikana hasa pale KIDODI
Kwa waluguru kuwa ni wenyeji wa kilosa hapo umetuokota waluguru wanapatikana hasa wilaya yao mama yenye asili yao Huko MOROGORO VIJIJINI. matombo , kolelo nk
Wavidunda base yao iko kata ya vidunda,yenye vijiji vya chonwe,udung'u,itembe na vidunda yenyewe.kidodi hua wanaenda gulioni tu mkuu
 
Shukrani mkuu kwa nyongeza, wangindo wanapatikana Kilosa. Hivi kuna tofauti Kati ya Wabena na Wabena manga? Nadhani kiuhalisia moro inatakiwa kuwa namba moja kwa kuwa na MAKABILA mengi
Mngindo Yuko kusin mwa Moro...huko kwa wapogoro,sio kilosa
 
daaah…Ifakara mbingu mngeta.Chita …pale mbingu ndz kama zote
 
Ulanga pia kuna Wangindo wa kutosha bila kusahau Wamwera pia
 
Umenikumbusha kisa ch Wanyamwanga wa Mbeya
 
Shika adabu yako, utakuwa unawafananisha wapogoro na waluguru.

Namaanisha Wapogoro wala sijakosea...

Nimeishi mitaa walau miwili yenye Wapogoro, mtaa mmoja ulikuwa na kaya tatu, mtaa mwingine kaya mbili...

Kwanza wanazaliana kishenzi, wanapenda kujumuika kwenye baraza au sehemu ya mbele ya nyumba na kuanza kusimanga watu wa mtaani, wakorofi wa mipaka na wanapenda ulozi...
 
Au wapogoro wa dar hao?
 
Na vipi kuhusu wavidunda? Naona kama kuna mambo mengi tunafanana
 
Correct!
 
Shukrani mkuu kwa nyongeza, wangindo wanapatikana Kilosa. Hivi kuna tofauti Kati ya Wabena na Wabena manga? Nadhani kiuhalisia moro inatakiwa kuwa namba moja kwa kuwa na MAKABILA mengi
Hapana, mkoa wa Mara ndiyo unaongoza kwa makabira mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…