Makabila yanayosifika kwa kutokuwa na ubinafsi

Just imagine hawa watu hawawajui wasukuma? Hawa watu ni wapumbavu na wabinafsi na wana roho mbaya sana acheni kuwapa promo washenzi hawa wa kisukuma
 
Sahihi mgogo hana shida kabisa na sio wasbinafsi
 
Just imagine hawa watu hawawajui wasukuma? Hawa watu ni wapumbavu na wabinafsi na wana roho mbaya sana acheni kuwapa promo washenzi hawa wa kisukuma
Wengi wanaowakubali hawajaishi nao ndio maana.Kaa na msukuma miezi kadhaa ndio utajua hawa jamaa.

Ni wanafiki,msukuma kukupa chakula mchana then usiku anakufanyia mauza uza sio shida zake.

Mtu akishakuwa ana amini ushirikina kwa kila jambo huwezi kuniambia ni mtu mwema.Bora waha.Waha wasingekuwa na ushirikina again ni kabila lenye watu wazuri.Hiyo tu ndio kasoro yao
 
Oyah nyie wasukuma ni namba moja mpaka tano alafu kuanzia Sita ndio hayo makabila mengine

Sema Sasa wasukuma wanatabia za uchawi sana hapo ndio wananichosha
 
wasukuma wepi ukarimu wa kwenye chakula tuu ama ?

Nilikaa na wasukuma wana ujuaji fulani ambao niliona duuh plus dharau za hovyo

sio wote wenye sifa hizo inaweza kuwa ni baadhi yao tuu. Naamini hivyo Ila lake zone yote naona Kuna namna wapo hawatofautiani sana!!
 
Kakola ya wapi hiyo bwashee πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ au ulikua shiyunga

All in all wasukuma umefika mgeni kabla hata ya kuulizana sijui umetoka wapi kwanza unafikia ugali na nsansa na maziwa mtindi saafii halafu ukishiba ndo interview ianze, kwakweli nisingeoa mnyakyusa option 2 ilikua nioe msukuma wako poa sana
 
Nimeishi na wasukuma hamna watu wabinafsi,wenye roho mbaya na wivu wa kijinga kama wasukuma acheni kuwa promo hawa wajinga ni wabinafsi na washenzi Sana! Idiot
Mkuu labda ulikutana na version ya wasukuma wa bariadi (wanyantuzu)
 
Shiyunga hamna kaka pale kupata gono lisilotibika ni kugusa.

Wasukuma kwenye chakula mwenyewe ntawatetea lakini linapokuja suala la ubaguzi,unafiki na ushirikina asee hapana
 
Wanyantuzu *****.Kwanza wachafu ,kuna jamaa alijichanganya akaoa mnyantuzu mama yangu! alichanganywa na weupe wao sema wazuri babu.

Ni washirikina balaa na hawajifichi.Kuna kenge mmoja kwao ilikuwa Bariadi kila kukicha ni vitisho tu.Utasikia mimi bibi sijui aliniachia nini mtaona. Siku moja nikamwambia acha usenge mwenyewe nishaoshwa na maji ya bahari ujue.

Wasukuma hapana asee.Labda misosi tu
 
Mitano tena kwa wasukuma.

Wahaya wanaongoza kwa roho mbaya nadhani hii inatokana na kutaka kujiona wao ni bora kuliko wengine so watafanya kila kitu kujilimbikizia mali kwa kuwadhulumu wengine na akiona mwenzake ana endelea kuliko yeye anachukia.
 
Wangoni tuna ubinafsi gani? Em acha kutusingizia bhana.
Ndo wageni wangekua wanajazana songea?? Lol
wenyewe hampendan ila wagen mnawahusudu na kuwaogopa ndio mana wamejazana huko hasa wakinga na wabena huko kwenu kabila smat wanyasa kule ziwana wale jamaa wana utu sio mwenyej wa huko ila nimetembea sana na kukaa pande hizo nyie wachoyo mgen akifika kama umeweka sufuria ya ugar hamkawii kwenda kununua mahalage mpike mnatia aibu
 
Nimeishi na wasukuma hamna watu wabinafsi,wenye roho mbaya na wivu wa kijinga kama wasukuma acheni kuwa promo hawa wajinga ni wabinafsi na washenzi Sana! Idiot
Walikukosea nini?All in all si wasukuma wote,ila majority wasukuma tupo poa sana .
 
Acha basi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…