Makabila yanayosifika kwa kutokuwa na ubinafsi

Ukitaka uishi vizuri na wasukuma, zingatia haya:-
1. Usiwe mtu mwenye majivuno na dharau, maana watakudharau mara tatu yake
2. Kuwa mtu mcheshi na mwenye kuheshimu watu, maana wasukuma wanapenda watu wacheshi
3. Epuka kufanya vitendo vinavyokiuka maadili katika jamii. Mfano kutongoza ama kutembea na wake za watu pamoja na mabinti.
4. Shiriki kwenye shughuli za kijamii kama vile misiba, harusi, mikutano ya kijiji n.k
5. Kuwa mwelewa na muungwana, mfano ikiwa una nafasi ya kusaidia basi wasaidie wahitaji, watakulipa fadhila.

NB: Jamii ya wasukuma ni kubwa sana, hivyo kuna kanda za kisukuma zina tabia fulani zinazowatofautisha.

Pia viongozi wasukuma wanapenda sana kuonekana, kujulikana, na kusifiwa. Yaani kwenye kutaka sifa basi wasukuma wanachuana vikali na wahaya.
 

Nimeishi na wasukuma hamna watu wabinafsi,wenye roho mbaya na wivu wa kijinga kama wasukuma acheni kuwa promo hawa wajinga ni wabinafsi na washenzi Sana! Idiot

Nimeishi na wasukuma hamna watu wabinafsi,wenye roho mbaya na wivu wa kijinga kama wasukuma acheni kuwa promo hawa wajinga ni wabinafsi na washenzi Sana! Idiot
Itoshe kusema nyie ndo wapumbavu na wajivuni ndo maana mkashindwa kuishi usukumani. Imagine watu mia wanasema wasukuma wapo poa wewe ni nani ngedere ubishe.

Kuna uwezekano mlienda huko mkaanza visherai vya ubinafsi vya makabila yenu hapo lazima.wawatoe nduki hao jamaa wamenyooka hawapendi dharau na unafiki
 
Ngedere mama yako aliyekuzaa mpumbavu wewe.kwani mtu akisema wasukuma ni washirikina hiyo inahitaji ubishi.Mshirikina lini akawa amenyooka?

Mshirikina ni mbinafsi,mnafiki hakuna kitu utanieleza hapa waambie waache hizo tabia kwanza
 
Mbona magufuli alikuwa mbinafsi, wizara nyingi aliwapa kabila lake enzi za uhai wake
Magufuli alikuwa na mambo yake lakini kuna vingi tu alifanya vilivyoonesha sio mbinafsi

alikataza maboss wa taasisi kuajiri, ajira zilianza kusimamiwa chombo kimoja Utumishi, ni kipindi ambacho watu wengi hata wa hali ya chini walipata ajira bila connection, sikuhizi tumerudi kule kule,
 
Wa sukuma nyie ni wapumbavu sisi wengine tumezaa na wasukuma kuna ile typical ya kisukuma inaitwa wanyantuzu hawa watu ni wapumbavu sana
 
Yeah ni kweli mkuu ila kuna ile typical ya kisukuma ya shinyanga,Tabora na Mwanza they are good ila hizi ng'ombe za kinyantuzu hizi pumbavu sana
 
Wasambaa hatuna mbui wakuu.
[emoji23]
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Ukishaweka geti tayari unaonekana hautaki mazoea na hapo ndio unaonekana mchoyo , ila kiukwel uchagani hatuna tabia za kutegemeana kwenye mambo madogo dogo ndio maana tunaonekana wachoyo
 
Ukishaweka geti tayari unaonekana hautaki mazoea na hapo ndio unaonekana mchoyo , ila kiukwel uchagani hatuna tabia za kutegemeana kwenye mambo madogo dogo ndio maana tunaonekana wachoyo
Kwanza unaanzia wapi wale wazee watakusema vibaya mno na watakujazia na watu πŸ˜„
 
Sawa leta ngoma kama hii ya kwenu.
Usukumani kuna dunia tofauti kabisa.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…