Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 18,813
- 21,830
Peramiho ndio jimbo lake Songea huko....atamfanya Jojo awe shirkina maana huyo mama hajambo kwa kupuliza na kuua.. wenzake...kwa ndumbaAhaaa Jenista Mhagama,Huvi ni mbunge wa wapi?
Naona ni Waziri miaka nenda rudi hatoki,Na sasa naona anamuandaa nasikia ndugu yake Jokate Mogelo arithi jimbo lake huko Pera Miho
Hata wale wanyaki ni pale walipoamua kustaafu tu mfano Prof Mark Mwandosya na mwenzake Prof homil Mwakyusa
Hata kule sumbawanga alikuwepo Mzee Paul kimiti na mwenzake Mzindakaya miaka nenda rudi