Makabila yenye JUJU KALI, ndo yanatoa viongozi na wateuliwa wengi nchini. Nipe maoni yako

Makabila wanaokula samaki, parachichi, dagaa, ndizi kwa wingi wana akili sana

1. Wanyakyusa wanakula sana ndizi, parachichi, samaki

2. Wahaya ndizi, samaki na parachichi

3. Makabila ya Pwani-samaki na mazao ya baharini

4. Wachagga ndizi, parachichi

5. Pia Wanyasa na Waha wapo
wanyiramba wanakula nini?
 
Wasukuma, Wapemba ,Wangoni, Wanyaki, Wakurya,Wanyiramba,na Wahaya ndo Kabila zinaongoza kwa kuwa na viongozi wengi Serikalini kwa sasa. Nipe maoni yako, Je, sababu ni nini?
Toa Wanyakyusa kwenye huo upuuzi
 
Wewe bila shaka utakuwa ni msukuma ambao ni wao mnaopenda sana kujioshea vitu ambavyo havipo. Mimi nimeishi usukumani sana na nilichogundua wasukuma mnapendenda sana ukabila.
Huo utafiti wako sio sahihi na ni batili na lengo lake ni kuleta ukabila na kujioshea upuuzi.

Makabila ya mikoa ya kaskazini kama Arusha, Tanga, Manyara na Kilimanjaro ina mawaziri na manaibu waziri wengi tu lkn kwavile lengo lako ni kujioshea na kuleta ukabila hujaliona hilo.

Makabilaa ya mkoa wa Mbeya yana viongozi wengi sana lkn hujaliona hilo kwasababu lengo lako ni kujioshea na kuleta ukabila.

Katafute hela ili uache huo ukabila wako na kujioshea ujinga jambo ambalo hata lingekuwa kweli wewe mnyonge halikufaidishi lolote.
 
Wasukuma, Wapemba ,Wangoni, Wanyaki, Wakurya,Wanyiramba,na Wahaya ndo Kabila zinaongoza kwa kuwa na viongozi wengi Serikalini kwa sasa. Nipe maoni yako, Je, sababu ni nini?
Makabila ya mikoa ya kaskazini kama Arusha, Tanga, Manyara na Kilimanjaro ina mawaziri na manaibu waziri wengi tu lkn kwavile lengo lako ni kujioshea na kuleta ukabila hujaliona hilo.

Makabilaa ya mkoa wa Mbeya yana viongozi wengi sana lkn hujaliona hilo kwasababu lengo lako ni kujioshea na kuleta ukabila.

Katafute hela ili uache huo ukabila wako na kujioshea ujinga jambo ambalo hata lingekuwa kweli wewe mnyonge halikufaidishi lolote.
 
Wasukuma, Wapemba ,Wangoni, Wanyaki, Wakurya,Wanyiramba,na Wahaya ndo Kabila zinaongoza kwa kuwa na viongozi wengi Serikalini kwa sasa. Nipe maoni yako, Je, sababu ni nini?
Hakuna kabila inaitwa "wapemba", pemba ni kisiwa kinachoishi makabila tofauti tofauti.
 
Sababu si umesema wana JUJU KALI au unataka watu waseme nn tena?
 
Back
Top Bottom