Peramiho ndio jimbo lake Songea huko....atamfanya Jojo awe shirkina maana huyo mama hajambo kwa kupuliza na kuua.. wenzake...kwa ndumbaAhaaa Jenista Mhagama,Huvi ni mbunge wa wapi?
Naona ni Waziri miaka nenda rudi hatoki,Na sasa naona anamuandaa nasikia ndugu yake Jokate Mogelo arithi jimbo lake huko Pera Miho
Hata wale wanyaki ni pale walipoamua kustaafu tu mfano Prof Mark Mwandosya na mwenzake Prof homil Mwakyusa
Hata kule sumbawanga alikuwepo Mzee Paul kimiti na mwenzake Mzindakaya miaka nenda rudi
Naambiwa wana akili sana.Nusu ya Majimbo ya Mkoa wa Pwani wabunge wake ni Mawaziri:
1.Mkuranga-Waziri wa Mifugo
2. Rufiji-Waziri TAMISEMI
3. Kisarawe - Waziri wa Muungano na Mazingira
4. Chalinze-Naibu Waziri Utumishi
Makabila wanaokula samaki, parachichi, dagaa, ndizi kwa wingi wana akili sanaNaambiwa wana akili sana.
Wameuza nafsi kwa Babylon, simple
Kwako Mwalimu Mshana JrWasukuma, Wapemba ,Wangoni, Wanyaki, Wakurya,Wanyiramba,na Wahaya ndo Kabila zinaongoza kwa kuwa na viongozi wengi Serikalini kwa sasa. Nipe maoni yako, Je, sababu ni nini?
Mkuu si useme tu kuwa wewe ni Mganga na huu wakati wa Uchaguzi ndiyo mnalamba maokoto ya Wanasiasa.Kwaiyo hayo Makabila ndiyo yameonekana kilingeni kwako?Wasukuma, Wapemba ,Wangoni, Wanyaki, Wakurya,Wanyiramba,na Wahaya ndo Kabila zinaongoza kwa kuwa na viongozi wengi Serikalini kwa sasa. Nipe maoni yako, Je, sababu ni nini?
Jenista ana Mjomba wake ni Chief huko Songea,alikuja Bungeni amevaa ngozi ya chui![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ahaaa Jenista Mhagama,Huvi ni mbunge wa wapi?
Naona ni Waziri miaka nenda rudi hatoki,Na sasa naona anamuandaa nasikia ndugu yake Jokate Mogelo arithi jimbo lake huko Pera Miho
Hata wale wanyaki ni pale walipoamua kustaafu tu mfano Prof Mark Mwandosya na mwenzake Prof homil Mwakyusa
Hata kule sumbawanga alikuwepo Mzee Paul kimiti na mwenzake Mzindakaya miaka nenda rudi
Hii sampuli yake inaanzia mbali,kama hujasomea Witchcraft coding huwezi kuelewa!Huu utafiti sampuli yake ilipatikanaje?
Bashungwa mama yake ni msukuma.Wahaya gani hao? Byabato tu? Bashungwa ni Mnyambo.
Wasukuma wamezidi 10% ya nchi, wakiwa wengi kwenye nafasi za uongozi utashangaa na kusema uchawi hapo, wakati ni suala la statistics tu?Wasukuma, Wapemba ,Wangoni, Wanyaki, Wakurya,Wanyiramba,na Wahaya ndo Kabila zinaongoza kwa kuwa na viongozi wengi Serikalini kwa sasa. Nipe maoni yako, Je, sababu ni nini?
Mkoa wa Tanga majimbo yote ni Mawaziri au manaibuMkoa wangu wenye 40%+ ya mawaziri mbona sijaona hata kabila lake moja?
Sababu ipi tena wakati ushasema Ni juju.Wasukuma, Wapemba ,Wangoni, Wanyaki, Wakurya,Wanyiramba,na Wahaya ndo Kabila zinaongoza kwa kuwa na viongozi wengi Serikalini kwa sasa. Nipe maoni yako, Je, sababu ni nini?
Irodha uongezeke hiyo mzee...wana mawaziri karibu wanneKwa hiyo orodha iongezeke?
ni kitu cha ajabu sana kwamba mwanadamu anaweza kuringia uchawi. Mungu yupo na anakuona, unaamua kuchagua uchawi na shetani badala ya kumtegemea Mungu. hii ndio hukumu ya kwanza kabisa watu watahukumiwa, kumkataa Mungu, kumsaliti Mungu wa kweli anayetupenda na kutuwazia mema mno, na wakaamua kuchagua adui wa Mungu, ushetani. hata dini zinazokubali kuwa kuna majini mabaya na mazuri hivyo ufuge yale mazuri wapo kwenye fungu hilo. dini ambazo kiongozi wao ni yule mwenye kusoma dua vizuri, mwenye uwezo wa kutengeneza jini, uwezo wa nguvu za giza, wale wale tu.Wasukuma, Wapemba ,Wangoni, Wanyaki, Wakurya,Wanyiramba,na Wahaya ndo Kabila zinaongoza kwa kuwa na viongozi wengi Serikalini kwa sasa. Nipe maoni yako, Je, sababu ni nini?
Wasukuma ni kwa sababu ya wingi wao tu.ktk kila watu kumi,wasukuma ni watatu.hivyo huwezi kuwakwepa kwenye jambo lolote lile.wala hakuna dawa pale.Wasukuma, Wapemba ,Wangoni, Wanyaki, Wakurya,Wanyiramba,na Wahaya ndo Kabila zinaongoza kwa kuwa na viongozi wengi Serikalini kwa sasa. Nipe maoni yako, Je, sababu ni nini?
Wa wapi huyo mganga,nataka nimwelekeze na lusinde.Madelu mganga wake bikizee mwenye titi moja na jicho moja