Makabila yenye mafanikio (kasoro wachaga), sehemu walizotokea hazina maendeleo kwasababu wanaogopa kurogwa wakitaka kurudi kufanya maendeleo

Makabila yenye mafanikio (kasoro wachaga), sehemu walizotokea hazina maendeleo kwasababu wanaogopa kurogwa wakitaka kurudi kufanya maendeleo

Zipo mzee labda hujatembea tu. Ushawahi sikia story za uchawi uchagani? Acha kukariri uchagani sio usukumani huko gamboshi
Ishu kuu ni kwamba wachawi wapo ila tunaangalia na idadi, sasa kama wchga wapo milioni 4 ila kuna wachawi 10 mi sioni kama ni kigezo cha kuwapa sifa ya kuwa na tatizo la ushirukuna kama sehemu zingine ambazo unakuta haya mambo ni mila kabisa ya ukoo
 
Mfano kama Magu alijaribu kujenga kwao hata kuwajengea hadi uwanja wa ndenge lakini aliishia kupigwa kipapai dah! mchawi hana maana
 
Mchaga ana mambo yake meusi lakini hata katika hayo mambo yakiwa 10, sidhani kama uchawi una nafasi kwenye hivyo vitu kumi.ndugu

Zipo mzee labda hujatembea tu. Ushawahi sikia story za uchawi uchagani? Acha kukariri uchagani sio usukumani huko gamboshi
Ndugu yetu unakuwa kama vyombo vya magharibi vinavyoonyesha kwamba Africa ni bara la njaa, umaskini, vita, n.k ili kuaminisha ulimwengu kwamba kwa wazungu ni mambo Safi. Nafikiri umeelewa.
 
M

Mm mchaga aisee, kwetu uchawi upo....japo kuna maendeleo.
Sio asili yake ni wa kununua. Na wengi wanaoununua huwa hawafanikiwi wanaishia kuwa maskini au akitoboa ataishia kupoteza ndugu zake tu kama kafara
 
Ndugu yetu unakuwa kama vyombo vya magharibi vinavyoonyesha kwamba Africa ni bara la njaa, umaskini, vita, n.k ili kuaminisha ulimwengu kwamba kwa wazungu ni mambo Safi. Nafikiri umeelewa.
mimi nimeishi na wachaga Arusha na moshi, upande wao mweusi ni Utapeli, wizi (hapa ni mpaka majambazi sugu), ulevi uliopindukia, n.k. lakini swala la ushirikina wala nisiwe mnafki kwakweli, haya mambo wachaga ni weupe sana kama mtu alietokea bush kuja dar,
 
Hata kwenyr ujambazi sugu bado umewasingizia, waanaume wa kichagga walivyo soft-soft vile ujambazi wanauwezea wapi?? Jamii ambayo mwanamke ndo mmliki wa uchumi.

Kwenye ulevi hapo nakubaliana na wewe 100%, na swala la uchawi lipo kama kawaida labda useme haujakithiri sana.
 
Mfano kama Magu alijaribu kujenga kwao hata kuwajengea hadi uwanja wa ndenge lakini aliishia kupigwa kipapai dah! mchawi hana maana
Kuna mtu alikuwa mchawi kama Magu?? Yule hakuuliwa na vipapai na wala hakuna rais anaeweza kupataa na vipapai vya kijinga (lasivyo wangerogwa na kufa kila siku)

Yule alimalizwa kiteknolojia.
 
Kujenga nyumba nzuri mahali pakuzaliwa ni heshima pia. Hawajengi kwa sababu lazima wao wakae. Kuna baba na mama ndugu Kama wadogo zako Kama hawajamaliza shule n.k.

Kwanza nakuwa na amani ninapotaka kwenda kijijini kwetu muda wowote. Nikienda na familia yangu na wao wanajisikia wamebadilisha mazingira.

Kuhusu uchawi kwa wachaga sijawahi kusikia mtu Fulani ni mchawi au mganga. Ila utasikia wanavuka barabara wanakwenda kwa watanipigia zao wapare, wasambaa, wazigua n.k.

Mchaga kwanza huo muda wa kuwaza hayo mambo Hana na kilichowasaidia ni kutokuwa na makundi ya vijiweni. Muda wote wako buse nakazi zao. Jioni ndiyo utampata kwenye kitochi Cha mbege.

Wahongere Sana.
 
Natokea Mbeya. Kuna kijiji hapo Mbeya wachaga wamekijenga kwa pesa mingi.

Kulikuwa na mganga wa kienyeji wachaga walikuwa wanapisha mamia kila siku.

Ukifika sasa hivi kasenta maana walikuwa wanaacha pesa wanachukua mizizi.

Uache ukanda na ukabila mangi.
 
Mada yako haina ukeli wowote. Umeungaunga habari kufikia unakotaka.

Watu wanawekeza mahali ambako uwekezaji wao utapata thamani sahihi...
Mtoa mada ana point. Hii ndivyo ilivyo kwa sehemu kubwa. Mfano Ukerewe imetoa Wasomi wengi tena wengine ni maprofessor na wengine wana nafasi kubwa kabisa tena za kisiasa, wengeweza kutumia nafasi zao na Ushawishi wao kuiendeleza Ukerewe (UK) lakini wanaogopa.

Kule ukijipelekapeleka unatambalishwa Faster hawana mchezo . Na msiba mmoja uwa chanzo cha Msiba mwingine. Hata kwenda huko kuhani Msiba inabid uende kwa Taiming mubashara.
 
Mchaga ana mambo yake meusi lakini hata yakiwekwa hayo mambo kumi, bado uchawi hauingii kwenye orodha, hata kwa watu tuliowahi kuishi nao Moshi na Arusha tunawajua upande wao mweusi ni utapeli...
Wahaya tuondoe humo tafadhali. Sisi hatujengi Bukoba Mjini, bali tunajenga "Omumasilo" na hatuogopi uchawi. Njoo kijijini kwetu nikuoneshe maghorofa na bungalows kibao zilizopo. Utachoka!!
 
Ota lanye, embu tema mate chini

Aisee asilimia kubwa za koo za kichaga ni wachawi tena wachawi haswaa, muulize Mshana Jr akwambie
 
Back
Top Bottom