Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Zipo mzee labda hujatembea tu. Ushawahi sikia story za uchawi uchagani? Acha kukariri uchagani sio usukumani huko gamboshiHakuna sehemu isiyokuwa na uchawi mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo mzee labda hujatembea tu. Ushawahi sikia story za uchawi uchagani? Acha kukariri uchagani sio usukumani huko gamboshiHakuna sehemu isiyokuwa na uchawi mzee
We Chalii unazinguaZipo mzee labda hujatembea tu. Ushawahi sikia story za uchawi uchagani? Acha kukariri uchagani sio usukumani huko gamboshi
Ishu kuu ni kwamba wachawi wapo ila tunaangalia na idadi, sasa kama wchga wapo milioni 4 ila kuna wachawi 10 mi sioni kama ni kigezo cha kuwapa sifa ya kuwa na tatizo la ushirukuna kama sehemu zingine ambazo unakuta haya mambo ni mila kabisa ya ukooZipo mzee labda hujatembea tu. Ushawahi sikia story za uchawi uchagani? Acha kukariri uchagani sio usukumani huko gamboshi
Mchaga ana mambo yake meusi lakini hata katika hayo mambo yakiwa 10, sidhani kama uchawi una nafasi kwenye hivyo vitu kumi.ndugu
Ndugu yetu unakuwa kama vyombo vya magharibi vinavyoonyesha kwamba Africa ni bara la njaa, umaskini, vita, n.k ili kuaminisha ulimwengu kwamba kwa wazungu ni mambo Safi. Nafikiri umeelewa.Zipo mzee labda hujatembea tu. Ushawahi sikia story za uchawi uchagani? Acha kukariri uchagani sio usukumani huko gamboshi
Sio asili yake ni wa kununua. Na wengi wanaoununua huwa hawafanikiwi wanaishia kuwa maskini au akitoboa ataishia kupoteza ndugu zake tu kama kafaraM
Mm mchaga aisee, kwetu uchawi upo....japo kuna maendeleo.
mimi nimeishi na wachaga Arusha na moshi, upande wao mweusi ni Utapeli, wizi (hapa ni mpaka majambazi sugu), ulevi uliopindukia, n.k. lakini swala la ushirikina wala nisiwe mnafki kwakweli, haya mambo wachaga ni weupe sana kama mtu alietokea bush kuja dar,Ndugu yetu unakuwa kama vyombo vya magharibi vinavyoonyesha kwamba Africa ni bara la njaa, umaskini, vita, n.k ili kuaminisha ulimwengu kwamba kwa wazungu ni mambo Safi. Nafikiri umeelewa.
Hakuna kabila hata moja lenye uchawi Tanania hii mkuu, ukipingana na mimi utaniambia mtu gani na wa kabila gani aliwahi kukuloga wewe.Em sema ulilogwa lini na mchagga?
Hata kwenyr ujambazi sugu bado umewasingizia, waanaume wa kichagga walivyo soft-soft vile ujambazi wanauwezea wapi?? Jamii ambayo mwanamke ndo mmliki wa uchumi.mimi nimeishi na wachaga Arusha na moshi, upande wao mweusi ni Utapeli, wizi (hapa ni mpaka majambazi sugu), ulevi uliopindukia, n.k. lakini swala la ushirikina wala nisiwe mnafki kwakweli, haya mambo wachaga ni weupe sana kama mtu alietokea bush kuja dar,
Kuna mtu alikuwa mchawi kama Magu?? Yule hakuuliwa na vipapai na wala hakuna rais anaeweza kupataa na vipapai vya kijinga (lasivyo wangerogwa na kufa kila siku)Mfano kama Magu alijaribu kujenga kwao hata kuwajengea hadi uwanja wa ndenge lakini aliishia kupigwa kipapai dah! mchawi hana maana
Uliona wapi mkinga mchawi?Uliwahi kuona wapi mchagga mchawi mzee?
Tembea uone mkuu. Hakuna sehemu za vijijini zilizoendelea kama za uchagani.
Mtoa mada ana point. Hii ndivyo ilivyo kwa sehemu kubwa. Mfano Ukerewe imetoa Wasomi wengi tena wengine ni maprofessor na wengine wana nafasi kubwa kabisa tena za kisiasa, wengeweza kutumia nafasi zao na Ushawishi wao kuiendeleza Ukerewe (UK) lakini wanaogopa.Mada yako haina ukeli wowote. Umeungaunga habari kufikia unakotaka.
Watu wanawekeza mahali ambako uwekezaji wao utapata thamani sahihi...
Wahaya tuondoe humo tafadhali. Sisi hatujengi Bukoba Mjini, bali tunajenga "Omumasilo" na hatuogopi uchawi. Njoo kijijini kwetu nikuoneshe maghorofa na bungalows kibao zilizopo. Utachoka!!Mchaga ana mambo yake meusi lakini hata yakiwekwa hayo mambo kumi, bado uchawi hauingii kwenye orodha, hata kwa watu tuliowahi kuishi nao Moshi na Arusha tunawajua upande wao mweusi ni utapeli...
Iku hizi wanaloga Sana aiseeMchaga ana mambo yake meusi lakini hata katika hayo mambo yakiwa 10, sidhani kama uchawi una nafasi kwenye hivyo vitu kumi.