Kama kapata malezi mazuri siwezi kukubishia hata kidogo, shida ya wambulu malezi yao siyo mazuriMkuu sijakubishia.
Ni kweli wambulu hawajatulia kama usemavyo ila sababu ya mimi kumkubali huyu ni kwasababu amekulia jamii tofauti na mazingira tofauti.
Angelikulia Mbulu Manyara nisingethubutu hata kumsogelea.
Ana makuzi ya Tanga hata nikikuonesha na kusema huyu mbulu waweza kataa ukasema huyu msambaa.
Mpaka tamaduni za kisambaa amebeba.
Namba 5. Weka vivid evidences with concrete examples ๐Makabila haya mwanamke anaweza kukuacha hata kwa kumsonya tu.
1.warangi
2.wapare
3.wahaya
4.wameru
5.wachagga
ndoa za kiisram vs kikristo ni kama ubepari na ujamaa!Kuna mawili hapa. Uhakika wa kuendelea kuwa mke vs Wasiwasi wa kuachika muda wowote. Ukweli ni kuwa mwanamke mwenye wasiwasi wa kuachika muda wowote ndiye atakuwa mbaya kwenye ndoa kuliko mwenye uhakika wa kutoachika. Yule anayeweza kuachika muda wowote kwanza hana uhakika kama hataachika hata kama atanyenyekea namna gani. Na mbaya zaidi anaweza kuletewa ''washindani'' wenye kutumia kila aina ya hila muda wowote. Pili ni lazima atakuwa anajitayarisha kuwekeza kwa sababu muda wowote anajua anaweza kuambiwa nenda zako.
Wakorogwe wengi wafupi na wana miili vitufe na ndio wenye shape ukanda wa Tanga.Hivi mkuu ni ipi tofauti kati ya Wasambaa wa Lushoto na Korogwe!
Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Umegonga pale pale. Halafu wanasema eti ndiyo ndoa ambazo wanawake hawana wasiwasiMaustadhi ni wakorofi, anaweza kutana na tako huko nje limevaa baibui akarudi nalo ndani halafu anakuja mwambia mke wake wa sasa kuwa ameongeza mke na hapo amekwisha kamilisha kila kitu.
Sidhani kama ndoa zinalazimishwa. Hakuna mkristo anayelazimishwa kwenda kanisani kufunga ndoa. Kla mtu anakwenda kwa uhuru wake. Kwani ukitaka kuona hata wake 10 utakatazwa? Ni wewe mwenyewe tu.Ndoa za kikristo ni za kipuuzi sana, wengi tunalazimishwa tu kuwa na mke mmoja na eti hakuna talaka, ndio maana wanawake wa kikristo ni jeuri mno
Ishia hapo hapo.Makabila haya mwanamke anaweza kukuacha hata kwa kumsonya tu.
1.warangi
2.wapare
3.wahaya
4.wameru
5.wachagga
Utakua na shida gani Hadi uoe mmeru? Kiburi chote kile.Makabila haya mwanamke anaweza kukuacha hata kwa kumsonya tu.
1.warangi
2.wapare
3.wahaya
4.wameru
5.wachagga
Umegonga pale pale. Halafu wanasema eti ndiyo ndoa ambazo wanawake hawana w
MishangaziHawa hua watu wa kabila gani??
View attachment 2956464
Aaanh mkuu kyela napo hatariUtakua na shida gani Hadi uoe mmeru? Kiburi chote kile.
Ila kwenye hiyo listi yako ondoa mpare weka MNYAKYUSA WA KYELA. KYELA iandike kwa kepito letas.
Mbora!? La umenitoa nje na msamiati huu... Hata kuforce ' nielewe imeshindikana.Uislam ni mwema sana.
Mbora kati yetu ni mcha Mungu.
Namba Tano ni uongoMakabila haya mwanamke anaweza kukuacha hata kwa kumsonya tu.
1.warangi
2.wapare
3.wahaya
4.wameru
5.wachagga
Kuna mahitaji muhimu na kuna mahitaji yasiyo na ulazima na ya ziada ambayo mengi chanzo chake ni tamaa.Hizo ni sababu lakini ukweli unabaki kuwa ni mmoja tu.
Hakuna mwanamke atayestahamili kuishi na wewe kama hatimiziwi haja yake.
Aaah wapi hamna lolote.Ishia hapo hapo.
Hakuna ndoa inayodumu Kama ya mwanamke wa kipare.
Mpaka aamue kutoka kwenye ndoa utakua umemuumiza Sana. Vinginevyo hata umpe matumizi ya buku mbili, ukirudi utamkuta kapika makande na huta sikia akilalamika.
Usi confuse wagweno na wapare OG wa Same.
Limekaa kishari shari linaweza kukuatamia muda wowoteWanyaki nasikia mna kiukorofi hasa mkiolewa na makabila mengine lakini kwenye ndoa mnasifika sana kwa uvumilivu na uchapakazi. Kwa hiyo hii sredi haiwahusu hii!
Mkipenda mmependa, mkitulia mmetulia; na mkiamua kulianzisha mnalianzisha. Mpewe tu maua yenu aisee.
Shughuli pevu hasa iko hapa ๐๐๐. Sitakaa nisahau ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
View attachment 2956518
Afu madam unaweza nisaidia kinachopelekea huo utofauti wa wanyakyusa wa kyela na tukuyu? Niwajuavyo maana nimeishi hizo sehem zote 1.Wa kyela hawa ni wajuaji/wajanja,,hawapendi shule mwisho wanapenda sana biashara 2.Wa tukuyu/rungwe wapole,wanazingatia elimu sio wajuajiWoow! Tukuyu oyeee
Kila imani ni njema kwa muhusika flan au mbaya kulingana na mapokeo ya mtu,ndiomaana kila upande una wafia dini,tuachane na hayo mkuu,twendelee kuchangia mada,ila nikupongeze tenaUislam ni mwema sana.
Mbora kati yetu ni mcha Mungu.
Mkuu naomba unielimishe hili kuhusu sababu zinazoweza fanya wanandoa wakiislam kupeana talaka,maana kwa upande wetu wakristo msingi pekee wa talaka ni uasherati/uzinzi vipi kwa wenzetu vitu/kitu gan hususa kikitokea kinahalalisha talakaUmeongea ukweli mtupu aisee tunashuhudia mitaani wanaume wa kikristo wanavyoteseka unakuta mwanamke ni mbabe na hana cha kutishiwa na mwanaume ana uwezo wa kuanzisha mvurugano muda wowote na mkienda mahakamani anashinda yeye kutokana na mifumo iliyowekwa na mahakama zetu wanawake wanasikilizwa zaidi wakiaminika kuwa ni wanyonge kumbe unyonge ilikuwa enzi zile za 1975 sio leo.
Kitu kingine mtu akisema watu wa pwani au waislamu ndoa zao zinaongoza kuvunjika au wanaongoza kutoa talaka labda anaongelea ile karatasi ya ushahidi wa ndoa kuvunjika lakini anasahau pia kwenye ukristo kuna ndoa nyingi zinakuwa zishavunjika yaani unakuta mke anaishi kivyake na mme anaishi kivyake sehemu tofauti na mke unakuta anaishi na mwanamme mwingine kama mme wake na mme naye anaishi na mwanamke mwingine na wanazaa watoto kabisa ila officially ndoa inayotambulika ni ile ya mwanzo lakini hawaruhusiwi kuandika talaka mwisho wa siku wanabaki na maumivu ya kudumu.
Sasa kwenye uislamu kwa kuliona hilo ndio kukawa na option ya kutoa talaka ili ndoa inapofikia kugeuka na kuwa uhasama/uadui watu waachane kila mtu akaanze maisha yake mapya.