Makaburi gani mazuri kwa kuzikia ndugu Dar bila kukutana na usumbufu?

Makaburi gani mazuri kwa kuzikia ndugu Dar bila kukutana na usumbufu?

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Habarini za jioni, asubuhi na mchana kwa walio huko mawindoni.

Nimewiwa kuuliza hili swali maana hivi majuzi nilifululiza kuzika ndugu na marafiki.

Katika kuchimba kaburi nimekutana na changamoto nyingi sana. Wakati wa kuchimba, wengine wanakutana na mifupa, wengine wanakutana na mafuvu, lakini marehemu anazikwa tu.

Nimehudhuria makaburi sehemu tatu.

Makaburi mawili yalikuwa mabaya sana.

1. Luventry

Haya yako njiani kuelekea Rainbow ukitokea Tankizima.

Aisee, kona ya pili kulia kuna makaburi. Kule usithubutu kuzika hata mbwa wako.

Kila wanapochimba ni mzigo, kisha wanaufukia na kuendelea. Inasikitisha sana.

Wakati tukisubiri kuzika, walikuja ndugu wakitafuta kaburi la ndugu yao.

Watatu wakasema, "Tumezika hapa," lakini mmoja akasema, "Tuendelee kutafuta."

Kwa bahati nzuri, kulikuwa na mtu anayeyafahamu makaburi ya pale, na marehemu waliokuwa wanamtafuta alikuwa dereva wa bodaboda.

Akasema, "Si mnatafuta Rey?"

Wakasema, "Ndiyo, aliyefariki kwa ajali ya bodaboda."

Akasema, "Basi mpo sehemu sahihi."

Aisee, sijui... mama yake yule alilia hadi akaanguka.

Walipoanza kumsaidia kutambua eneo, wakakuta kaburi jipya ambalo halijafikisha hata mwezi, likiwa juu ya mzigo.

Nashauri makaburi ya aina hii yafungwe.

Watu wanaogopa gharama za kwenda Mbweni kununua eneo la mazishi, lakini ukweli ni kwamba hali hii ni laana na ni kutowastiri marehemu ipasavyo.

Je, kwenu ni makaburi yapi mazuri ambayo hayana tatizo la kuchimba na kukuta mabaki ya mazishi mengine?

Ndiyo maana wengi huomba malipo makubwa kwa kufanya kazi hiyo ya kuchimba makaburi.

Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, na upendo wa Mungu Baba, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nasi sote sasa na hata milele.


Amina.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Mpwa nimeapa kufwatana na misafara ya kuchimba kaburi sifanyi tena nasema aisee sikulala......maana wengine tulikuwa tunaweka sawa ukubwa wachimbe sawia wewe...usiku.mzima naota...

Miaka 4 iliyopita alikuwepo dogo.mmoja na kundi lake pale luventry wape kvant na gongo na 20000 aisee dk 0.....walikuwa 4

Mmoja Alkazamarainbow Beach
Mwingine akaja kugongwa palepale kona ya makaburi

Mwingine akaumwa huyu akusumbua kuzika akakimbilia iringa akafaaa....


Bora hao 3

Aliebakiaa cha moto anakiona mwaka wa 6 nahisi anatembeaga anatembea mwenyewe mara pah kawe mara paah kafika tegeta jashoo kumtoka kama.lote

Jitise umsaidie hata henkachai uone nn chief yaan tunaoishana nae anaongea kama anatangaza world cup goli la Holland juziiiii

😆 😂 😆 😂 😆 😂 kazi nzuri lakini zingine woiii nikaonje kwa masawe mie kabiakadogo
 
akikujua anakuonaa anakufyonzqq anatoa.macho kama. Anashangilia
Goli la hary Kane 😆
😂 😆 😂 😆 😂
Sicheki kwa mazuri dunia haina adabu

...dj tupe

.....tamu
 
KINACHOUMA SERKL ZA MITAA WANAJUA KABISA HALI ZA MAKABURI YAMEJAA WANARUHUSU HII LAANA HAITATUACHA WAPENDWA WOIIII

NAPITATU

KAMA SENEGAL....
 
M NATAKA NIPANGISHE SITE LANGU MOJA BUNJU KWA KUZIKIA TU MAANA KILA NIKOWAZA KULIJENGA NAKUTANA NA MOTO UNASE.A ACHA

SIJUI PAKUANZIA KAMA HK 3......ULINZI MNAJITEGEMEA WAFIWA NA MAREHEMU WENU M NATOA ARDHI TU
 
mifumo ya Christians hatukuilewa tu baada ya uhuru tuliibomoa mmoja baada ya mwingine na kuita ukoloni tukataka uafrika, sasa huo unaoulalamikia hapa ndio uafrika wenyewe. Christian systems kuzika ni kazi ya watu wengine, ni profession za watu mambo ya makaburi ni kazi ya city/halmashauri wewe unalipia tu (hawatoi gawio mbele camera kwa raisi lkn kwa maana ni huduma kwa wananchi wanaolipa kodi) gharama halmashauri wanafanya the rest professionaly wao wanajua wapi pa kuzika na wazikaje ofisini wana takwimu zote wanakuwa trained, na ndivyo ilivyokuwa kwenye makaburi yote wakati Christians bado wana-run serikali i.e kabla ya uhuru.

makaburi yote yana mtu anayeitwa cemetery caretaker hata makaburi ya kinondoni kulikuwa na cemetery caretaker aliyeajiriwa na halmashauri kwa kazi hiyo na hiyo ndiyo kazi yake analipwa na halmashauri kutunza makaburi, kuchimba na mazishi yote, lkn tulikataa ukoloni tukarudia uafrika, uafrika ni vilio tu kila mahali nothing works, wananchi wameachwa peke yao, uafrika serikali iko kwa ajili ya kuhudumia ccm politbuto na familia zao basi wananchi wanaachwa wenyewe ingawaje wanalimwa kodi kila mahali sasa hivi nimesikia wanamleta snoop doggy hizo ndiyo priority za uafrika, anasa ...
 
NILICHOKIONA PALE LUVENTRY

WAKIKUTANA NA MIILI JAMAMMOJA ANAJITOA UFAHAMU ANASOGEZA PEMBEN WANACHIMBA PEMBEN

AMA WAKIKUTA UKO CHINI SANA ..WANAJAZIA UDONGO NYIE MKIJA MNAONA MAREHEMU ANAWEKWA PAZURI KUMBE UKINGOZA MKONO NUSU YUKO MWINGINE

TUNAOMBA SERIKALI IYAINGILIE KATI HAYA MAKABURI IKIWEZEKANA WAYAFUNGE KABISA.....NAWAZA HIVI ...

.......ntarudibadaaaaspainwin&3+

nkawahi kazini kwenye kazi
 
Hii mi naona haina maana. Afrika inabidi tuanze kutunza maeneo mapema kabla hatujakumbwa na janga la upungufu wa ardhi
Am mkuu mfano southafrica kuna maeneo ya watu kabisa ya kuzikia na unalipia kila mwaka na unasaini kabisa fomu...Ole ujitoe ufahamu mkuu wanatoa mwili wanajua wanapoupeleka na kukutafuta kama
Yanga tunavyoendelea kumfwatilia beki wa Jkt

Waruhusu watu binafsi ukiacha fursa pia n uthibitina heshima kwanmarehemu na ndugu kujua nduguyo yuko wapii

M ndiommaana mzee
Mama
Bibi

Yaan niliwahi kuweka matofali kabisa na miezi sita wako na tiles na picha zao nikute picha ya mshana watantambua

😆 😂 😆 😂 😆..mwendo wa kujengea tu

Loh

Serikali mtusaidie kukagua haaya makaburi

Sehemu ntinginr n tabata..sikumbuki panaitwaje nako n mwendo wa bujubujubuju oooh unazika

Mwanaume unakutama na mwanamke miezi 6 ijayo na msalaba swafiii juuyake aisee
 
Hii mi naona haina maana. Afrika inabidi tuanze kutunza maeneo mapema kabla hatujakumbwa na janga la upungufu wa ardhi
Am mkuu mfano southafrica kuna maeneo ya watu kabisa ya kuzikia na unalipia kila mwaka na unasaini kabisa fomu...Ole ujitoe ufahamu mkuu wanatoa mwili wanajua wanapoupeleka na kukutafuta kama
Yanga tunavyoendelea kumfwatilia beki wa Jkt

Waruhusu watu binafsi ukiacha fursa pia n uthibitina heshima kwanmarehemu na ndugu kujua nduguyo yuko wapii

M ndiommaana mzee
Mama
Bibi

Yaan niliwahi kuweka matofali kabisa na miezi sita wako na tiles na picha zao nikute picha ya mshana watantambua

😆 😂 😆 😂 😆..mwendo wa kujengea tu

Loh

Serikali mtusaidie kukagua haaya makaburi

Sehemu ntinginr n tabata..sikumbuki panaitwaje nako n mwendo wa bujubujubuju oooh unazika

Mwanaume unakutama na mwanamke miezi 6 ijayo na msalaba swafiii
 
Back
Top Bottom