mwisho2016
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 724
- 625
Shilling 200,000,000/-Habarini wakuu, naomba kama kuna mwenye uzoefu anipe makadirio ya gharama ya ujenzi wa nyumba ya vyumba vi 3 (chumba kimoja self na viwili vya kawaida), sitting, dinning, jiko, (choo na bafu public).
Nataka kutumia matofali ya kuchoma ambapo tofali moja linauzwa sh 120.
Msingi utatumia matofali ya block.
Heshima kwenu.
Fuc.k.ing kidding??!Shilling 200,000,000/-
Mwisho mwa maelekezo yako umeenda vzr Sana, hapo mwanzoni sijui ulikuwa unaandika ukiwaza papuchi?? Haya Mambo yaende taratibu...nimegombana na shemeji it enzi hizo najenga, kwamba tunajenga kwa mshahara wa kila mwezi akabisha. Mzee laki mbili mbili tu ilimaliza nyumba enzi hizooo sio leo. Weka malengo kuwa na subra, ishi kwa urefu wa kamba yako, acha Tamaa ya mijengo Anza taratibuUkitaka kutafuta gharama halisi au makadirio kwamba ni kiasi gani cha fedha utatumia katika kujenga unaweza usijenge kabisa kama kipato chako ni cha kuungaunga, mambo hayo yanawafaa wenye uhakika wa fedha, au wale wanaochukua mikopo kwa ajili ya ujenzi. Mwanzoni mwa miaka ya 2000 nilipata zari nikapata kiasi cha fedha nikaweza kununua kiwanja maeneo ya Yombo Vituka. baada ya kununua hicho kiwanja sikuwa na pesa nyingi ambayo ingeweza kuanzisha ujenzi. Nikatafakari sana nikaibuka na wazo la kuwa ninaenda site kila Jumamosi hata kama nina fedha ya kununua mfuko mmoja wa simenti na kumlipa fundi wa kufyatua. Nilienda mwendo huo mwaka haukuisha nikawa nimemaliza nyumba. Nilipokuja kujumlisha hesabu sikuamini ni wapi ningeweza kupata kiasi hicho cha pesa kwa mara moja au hata kwa awamu nne!
kama napata mil 9 kwa mwezi jeKama hela ni ya kuunga unga Ujenzi ni mchakato mrefu asee,mi mwenyewe nimebaki nimeduwaa tu nawaza pa kuanzia
Mkuu nishakusoma kasoro uliyonayo.Kama hela ni ya kuunga unga Ujenzi ni mchakato mrefu asee,mi mwenyewe nimebaki nimeduwaa tu nawaza pa kuanzia
Nilimaliza kwa 26.8 tuShilling 200,000,000/-
Huku mikoani kama shinyanga, geita, musoma na katavi cement ni Tsh 19,000/=Kuna mdau anataka kuanza ujenzi Nampa big up ila maandalizi yake anasema amefyatua tofali mwenyewe 4000 kwa gharama ya mfuko WA cement 19000,naomba kujua cement hiyo ni Tanzania hii hii au maana mtaani kwetu cement 12000- 13500,swala LA msingi je hizo gharama anapewa tu na fundi then ye anatoa hela? Maana ushauri ukitaka kweli kujenga buildings material inabidi uzunguke maduka kadhaa kufananisha bei vinginevyo utauziwa mfano WA cement 19000 wakati uliyemtuma kalipa 12500,huoni utakuwa unaibiwa kwa uvivu wako au ni contractors company ndio kakupa bei hiyo.
Mkuu. Bati na kuezeka ulitumia sh ngapiNilimaliza kwa 26.8 tu
Ndio naanzaNilimaliza kwa 26.8 tu
UsitutisheVyumba vitatu nyumba standard andaa at least million 120.
Kamanda asante kwa mchango wako mi si mwenye uzi ila nimekubali umepanua sana uwanja wa kufikiriM10 tu inatosha gharama kubwa hapo bati na mbao Labda na fundi tofar flatulsha tanul hata 3 kisha uza mbil tumia moja