Makadirio ya gharama za matumizi yako kwa siku

Makadirio ya gharama za matumizi yako kwa siku

Yah mkuu, Me hapo nakunywa supu ahsubh, Mchana nakula Ugali tena na mboga Nne na hapo nimepika, Usiku naangali sasa naweza kula viazi na mayai na soda napata na vocha pia
Nipe mchanganuo wa hizo mboga na supu
 
Nipe mchanganuo wa hizo mboga na supu
Ahsbh:1500 (Supu tsh.1000, Chapati 2 tsh.500)
Mchana:3000 (ugali napika home unga upo ,Dagaa 1000,Mtindi 1000, Mayai & Kachumbari)
Usiku:2500 (Viazi 1500,Mishkaki mitano 1000)
Vocha:1000
 
Ahsbh:1500 (Supu tsh.1000, Chapati 2 tsh.500)
Mchana:3000 (ugali napika home unga upo ,Dagaa 1000,Mtindi 1000, Mayai & Kachumbari)
Usiku:2500 (Viazi 1500,Mishkaki mitano 1000)
Vocha:1000
Budget yako Haina kinywaji chochote, dah mkuu bado Iko tight sana , endelea kupambana mkuu,

Ila usije jaribu tena kuitumia kauli ya 'nakula nachotaka' kwa budget ya 8000 kwa siku.
 
Budget yako Haina kinywaji chochote, dah mkuu bado Iko tight sana , endelea kupambana mkuu,

Ila usije jaribu tena kuitumia kauli ya 'nakula nachotaka' kwa budget ya 8000 kwa siku.
Hiyo ndo ratiba yangu ya home mkuu vinywaji vyote ninavyo stock , na kikweli hapo me ndo nakula ninachotaka.... Au we unategemea mtu ale nini ndo awe amekula anachotaka?

Then sio kwamba nashindwa gharama zaidi ya hio hapana, Naweza ila mostly nimejizoesha hivyo maana me mvivu kwanza kula wakati mwingine naweza nikaishia kula mlo wa jioni tu... ni maamuzi
 
Back
Top Bottom