Makadirio ya gharama za matumizi yako kwa siku

Makadirio ya gharama za matumizi yako kwa siku

Nilivyo yatafakari maisha na kuyaona kwasasa yalivyo

Kama utakuwa na familia basi kwa siku inatakiwa uweze kuingiza 20,000

10,000 iwe kama akiba na 10,000 nyingine iwe kwa ajili ya matumiz yako madogo na ya familia

Na kama huwezi kuweka akiba kwa siku basi maisha yatakuwa magumu
Kabisa
 
Sina uhakika sana ila mara nyingi haishuki chini ya elfu 50, na pia inategemea nimetoka na kiasi gani cha pesa siku hiyo.
 
asbuh chai 500
mchana 1000
plus maji 500
usku 1500

=3500
kwa siku naingiza 25000 mpka 30000
Sina Dem wakuniumiza akili ya kuonga
najitahidi kusave Sana
 
Nataka kujua kama mtindo wangu wa budget upo sawa, Either natumia hela vibaya au nipo sawa.... Waweza kukuta mtu unatumia 20k na ungeweza kutumia 10k ukaishi fresh tu... So, ili kujua kwamba hilo linawezekana nitajua kupitia maoni ya wengine
Yaani 10 na ukaishi fresh? Hapo utakuwa unakula usife. Binafsi 20k ndio nakuwa nimekula mlo wa kawaida kwa siku. Kama shemejj Yako anakuja kunipa hi inaweza kufika 40k
 
Elfu 8 Milo mitatu, afu unasema unakula unachotaka

Strange
Yah mkuu, Me hapo nakunywa supu ahsubh, Mchana nakula Ugali tena na mboga Nne na hapo nimepika, Usiku naangali sasa naweza kula viazi na mayai na soda napata na vocha pia
 
asbuh chai 500
mchana 1000
plus maji 500
usku 1500

=3500
kwa siku naingiza 25000 mpka 30000
Sina Dem wakuniumiza akili ya kuonga
najitahidi kusave Sana
Waishi mkoa gani mkuu?
 
Yaani 10 na ukaishi fresh? Hapo utakuwa unakula usife. Binafsi 20k ndio nakuwa nimekula mlo wa kawaida kwa siku. Kama shemejj Yako anakuja kunipa hi inaweza kufika 40k
inategemea na mahali unapoishi na upatikanaji wa chakula upo vp
 
Back
Top Bottom