Makadirio ya gharama za matumizi yako kwa siku

Makadirio ya gharama za matumizi yako kwa siku

Nakula uniform, yani uji wa mhogo uliopikwa kwa kuni za mhogo, ugali wa mhogo, kwa kuni za mihogo na kisamvu
Matumizi ya siku yanatakiwa yahusishe na vile vilivyonunuliwa kwa matumizi ya mwezi mzima vikawekwa ndani Kisha ndiyo tuhesabu na hizi gharama za mboga na mambo mengine ya kila siku.
 
Uzo
Nataka kujua kama mtindo wangu wa budget upo sawa, Either natumia hela vibaya au nipo sawa.... Waweza kukuta mtu unatumia 20k na ungeweza kutumia 10k ukaishi fresh tu... So, ili kujua kwamba hilo linawezekana nitajua kupitia maoni ya wengine
Uzoefu zaidi utaupata kulingana na ongezeko la majukumu utakayokuwanayo, kipato + matumizi kulingana na vipaumbele vyako
 
Matumizi ya siku yanatakiwa yahusishe na vile vilivyonunuliwa kwa matumizi ya mwezi mzima vikawekwa ndani Kisha ndiyo tuhesabu na hizi gharama za mboga na mambo mengine ya kila siku.
Ndio nimemaliza hapo, yani ukiweka nlivyotaka hapo ongeza 1200 ndio ya kununua mafuta kidogo, kitunguu, nyanya, sometimes na samaki wale wenye mifupa.
Life linasonga
 
Hamna wakati hela inatoka kama asubuhi.
Mfano watoto shule
Hela ya matumizi ya kila siku nyumbani
Nauli ya kwenda kazini
Bando za kwenye sim

Hili ni asubuhi tu, bado mchana ikiwa kazini
Bado jioni wakati wa kurudi nyumbani

Ufike nyumbani ukute bill za umeme, maji, king'amuzi,taka , usafi.

Kwa mzunguko huo sio chini ya 20,000 kwa siku.

Maajabu ya Mungu hapo unakuta mtu kipato rasmi hakifiki hata laki 5 kwa mwezi lakini mtu unatoboa na hakuna hata deni moja unalodaiwa.
Maisha yetu tunayoishi wengi wetu ni miujiza tu. Ulichoongea ndiyo uhalisia wa wengi wetu
 
Back
Top Bottom