Good-bye
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 1,085
- 1,812
YeahNajua tu utakuwa singleš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YeahNajua tu utakuwa singleš
6000 huwa inamtosha mama K kubalance mkala hadi usiku?Home 6000
Chai 1000
Mchana 1500
Nauli 2000
Matunda 500( ndizi mbili au parachichi)
Supu ya pweza jioni 1000
Mtoto shule 1000
Sinywagi soda wala alcohol yoyote
12,500....inaweza kuongezeka au kupungua lakini hiyo ni mara nyingi sana
Nomaš, umetisha sana mkuu... wanasema Mungu humpa mtu mtihani anaoumudu.Mimi nyumbani ni 20,000/= daily Kwa mwezi 600,000/= hapo ni nje ya bill ya maji, Luku,gas na ulinzi.
Hapo hujamwagilia moyo bado wala kumpa tafuta yeyote.
Cha kushangaza sina mshahara kabisa maana bora hata wanaolipwa laki mbili mwisho wa mwezi wanapokea.
Lakini maisha yanakwenda Mungu ni mwema kila wakati, hatima ya maisha yako haijabebwa na wanasiasa Bali ni Mungu tu mtumaini yeye na hutoaibika.
But unahitaji kujifunza kuhusu nini kutokana na swali lako
8000 *30 days = 240,000/= ukitoa kwenye mshahara inabaki: 150,000 -240,000 = - 90,000/=Chai 1000
Lunch 1500
Soda 600
Maji 1000
Vocha 2000
Dinner 2500
Beer 2000
Snack 1000
Nauli 2500
8000-12000 per day japokua inaweza pungua zaidi ya hapo au kuongezeka
N:B Mshahara wangu ni 150000 per month,
Yan hii kitu hata mimi inanicost mambo ya kuzoeshwa ela toka udogo yan huoni shida kuzitumia kwasabab ni kawaidaMimi ndiyo wa hovyo kabisa ikija suala la hela. Nitakayotoka nayo lazima iishe, hata nikitoka na laki 2, ikirudi nimejitahidi sana 50k.
So sina kiasi kwa siku natumia kiasi gani.
Nikibeba hela ndiyo kosa, nanunua vitu hata sikupanga, nalipia wengine lunch ujinga tu. Nilizoeshwa hela toka utotoni so ni mpuuzi kwenye hela najijua.
Yeah inamtosha mkuu6000 huwa inamtosha mama K kubalance mkala hadi usiku?
Kwa kifupi,tuseme wewe ni mbovu wa bajeti. Unafanana na wifi yako. Kila siku tunagombana kwenye suala la bajeti,mpaka Kuna siku akaniambia nina gubu.Mimi ndiyo wa hovyo kabisa ikija suala la hela. Nitakayotoka nayo lazima iishe, hata nikitoka na laki 2, ikirudi nimejitahidi sana 50k.
So sina kiasi kwa siku natumia kiasi gani.
Nikibeba hela ndiyo kosa, nanunua vitu hata sikupanga, nalipia wengine lunch ujinga tu. Nilizoeshwa hela toka utotoni so ni mpuuzi kwenye hela najijua.
hela unatafuta mwenyewe au unapewa na mumeo?Mimi ndiyo wa hovyo kabisa ikija suala la hela. Nitakayotoka nayo lazima iishe, hata nikitoka na laki 2, ikirudi nimejitahidi sana 50k.
So sina kiasi kwa siku natumia kiasi gani.
Nikibeba hela ndiyo kosa, nanunua vitu hata sikupanga, nalipia wengine lunch ujinga tu. Nilizoeshwa hela toka utotoni so ni mpuuzi kwenye hela najijua.
hawajui machungu ya kutafutaKwa kifupi,tuseme wewe ni mbovu wa bajeti. Unafanana na wifi yako. Kila siku tunagombana kwenye suala la bajeti,mpaka Kuna siku akaniambia nina gubu.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app