Good-bye
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 1,085
- 1,812
🤣🤣🤣Ndio mtuheshimu wazazi wenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Ndio mtuheshimu wazazi wenu.
WoowK-Vant = 10,000
Fuel = 10,00
Family food = 20,00
Umeme = 2,000
Usafi = 3,000
Maji = 2,000
Credit = 1,500
Here & there = 10,000
5000-10000Habari wakuu,
Life limekuw tight mno wakati huu ila sidhani kama ni kwetu wote, ila kama unavyoona hapo kwenye kichwa cha huu uzi ebu tujuzane gharama za matumizi yetu ya kila siku...
Mfano mimi ni single boy ila Approximately ya matumizi yangu kwa siku huwa haizidi 8000Tsh, hapo nimekula asubuhi,mchana na usiku na pia Bundle la kutosha kuendesha mbanga. (Hapo kwenye kula nakula ninachokitaka, Yaani roho inachotaka sio ninachopa)
Matumizi yangu yanazidi kufika 8k maximum sanasana nikishinda nyumbani ila nikiingia harakati matumizi hupungua na kujikuta natumia 5000Tsh tu... Hii ni kutokana na kazi kuniweka busy kiasi cha kukosa nafasi ya kula ahsbh na mchana.
So nataka kujua na ninyi ndugu zangu Wenye familia na msio na familia vipi makadirio yenu yapo vipi kwenye matumizi ya siku... Nahitahi kujifunza na kujua kama kuna uwezekano wa kupunguza matumizi zaidi au kuongeza pindi nitakapobidi iwapo mfano nikijakuwa na familia inanibidi kuwa na uwezo wa kuacha balance ya shngap mezani.
Twenzetuni
🤣🤣🤣 Nimekuspot kwenye k vanti apoK-Vant = 10,000
Fuel = 10,00
Family food = 20,00
Umeme = 2,000
Usafi = 3,000
Maji = 2,000
Credit = 1,500
Here & there = 10,000
Kitu ya msingi sana kwenye kuchambia koo..😋🤣🤣🤣 Nimekuspot kwenye k vanti apo
Ile ya kwaanza ni muhimu sana kwaajili ya kuchambia koo....😋Woow
Naunga mkono hojaKitu ya msingi sana kwenye kuchambia koo..😋
Weee,Chai 1000
Lunch 1500
Soda 600
Maji 1000
Vocha 2000
Dinner 2500
Beer 2000
Snack 1000
Nauli 2500
8000-12000 per day japokua inaweza pungua zaidi ya hapo au kuongezeka
N:B Mshahara wangu ni 150000 per month,
respect mkuu🙌Hamna wakati hela inatoka kama asubuhi.
Mfano watoto shule
Hela ya matumizi ya kila siku nyumbani
Nauli ya kwenda kazini
Bando za kwenye sim
Hili ni asubuhi tu, bado mchana ikiwa kazini
Bado jioni wakati wa kurudi nyumbani
Ufike nyumbani ukute bill za umeme, maji, king'amuzi,taka , usafi.
Kwa mzunguko huo sio chini ya 20,000 kwa siku.
Maajabu ya Mungu hapo unakuta mtu kipato rasmi hakifiki hata laki 5 kwa mwezi lakini mtu unatoboa na hakuna hata deni moja unalodaiwa.
Kiingereza hicho na upo chuo!!!..nchi hii Ina shida Sana siku za usoniHabari wakuu,
Life limekuw tight mno wakati huu ila sidhani kama ni kwetu wote, ila kama unavyoona hapo kwenye kichwa cha huu uzi ebu tujuzane gharama za matumizi yetu ya kila siku...
Mfano mimi ni single boy ila Approximately ya matumizi yangu kwa siku huwa haizidi 8000Tsh, hapo nimekula asubuhi,mchana na usiku na pia Bundle la kutosha kuendesha mbanga. (Hapo kwenye kula nakula ninachokitaka, Yaani roho inachotaka sio ninachopa)
Matumizi yangu yanazidi kufika 8k maximum sanasana nikishinda nyumbani ila nikiingia harakati matumizi hupungua na kujikuta natumia 5000Tsh tu... Hii ni kutokana na kazi kuniweka busy kiasi cha kukosa nafasi ya kula ahsbh na mchana.
So nataka kujua na ninyi ndugu zangu Wenye familia na msio na familia vipi makadirio yenu yapo vipi kwenye matumizi ya siku... Nahitahi kujifunza na kujua kama kuna uwezekano wa kupunguza matumizi zaidi au kuongeza pindi nitakapobidi iwapo mfano nikijakuwa na familia inanibidi kuwa na uwezo wa kuacha balance ya shngap mezani.
Twenzetuni
Mkuu ni nilikosea kuandk ni hvMkuu[emoji119] kama ni kweli basi upo ngazi ya uchumi juu
Hapo ni kama NAFAKA zipo ndani au kukiwa hakuna Kila kitu?1200