Makadirio ya gharama za matumizi yako kwa siku

Makadirio ya gharama za matumizi yako kwa siku

Sina familia hapo Mimi mwenyewe ila nasomesha ,sijaingia familia ndo maana nikakwambia ikiwa ni siku ya kazini najumlisha chai kule ofisi,chakula cha mchana na usafiri then na emergency naweza kutoka kazini hata saa 7 usiku sasa usafiri mpaka Uber au bolt maana izi daladala zinasumbua.
Yah, sio mbaya... maana pia inategemea na salary ya mtu
 
Je, nikisema kuwa natumia laki kwa siku utaniamini mkuu? Pia matumizi hutofautiana siku na siku especially mwisho wa mwezi na siku za manunuzi makubwa.
Approximate mean makadirio yaani ile gharama inayotokea mara nyingi, Mtu akidanganya hawezi kufaidika chochote maana mwisho wa siku nobody care
 
Kiukweli maisha ya mtaa ni magumu hasa kwa sisi wengine tunaoingia mtaani mara moja kila baada ya miezi isiyopungua sita. Kuna kipindi ilibidi nimuulize jamaa yangu hivi unawezaje kuishi kwa ukame huu??
 
Sio poa mzee, hasa DSM chakula ndo kipo juu kinoma ukikaa kizembe hela yote inaishia kwenye msosi
 
Back
Top Bottom