raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Na sufuria zilizotengenezwa na malighafi za muhogo 😄Nakula uniform, yani uji wa mhogo uliopikwa kwa kuni za mhogo, ugali wa mhogo, kwa kuni za mihogo na kisamvu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sufuria zilizotengenezwa na malighafi za muhogo 😄Nakula uniform, yani uji wa mhogo uliopikwa kwa kuni za mhogo, ugali wa mhogo, kwa kuni za mihogo na kisamvu
Mzee kwa mwezi unatumia mshahara wa watu 9- 900k na chenchi inabakiMatumizi yangu binafsi (Chakula, nauli, vocha n.k) 15k
Familia 15k
Jumla: 30k+ kwa siku.
Zangu na za home [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KabisaNilivyo yatafakari maisha na kuyaona kwasasa yalivyo
Kama utakuwa na familia basi kwa siku inatakiwa uweze kuingiza 20,000
10,000 iwe kama akiba na 10,000 nyingine iwe kwa ajili ya matumiz yako madogo na ya familia
Na kama huwezi kuweka akiba kwa siku basi maisha yatakuwa magumu
iyo hamisini unafamilia kubwa Sana mkuu auSina uhakika sana ila mara nyingi haishuki chini ya elfu 50, na pia inategemea nimetoka na kiasi gani cha pesa siku hiyo.
Yaani 10 na ukaishi fresh? Hapo utakuwa unakula usife. Binafsi 20k ndio nakuwa nimekula mlo wa kawaida kwa siku. Kama shemejj Yako anakuja kunipa hi inaweza kufika 40kNataka kujua kama mtindo wangu wa budget upo sawa, Either natumia hela vibaya au nipo sawa.... Waweza kukuta mtu unatumia 20k na ungeweza kutumia 10k ukaishi fresh tu... So, ili kujua kwamba hilo linawezekana nitajua kupitia maoni ya wengine
Hapana boss sina family, Bado sijaoa.iyo hamisini unafamilia kubwa Sana mkuu au
Gari peke yake inakula 20k ya petrol daily.duh[emoji119]