Nipe mchanganuo wa hizo mboga na supuYah mkuu, Me hapo nakunywa supu ahsubh, Mchana nakula Ugali tena na mboga Nne na hapo nimepika, Usiku naangali sasa naweza kula viazi na mayai na soda napata na vocha pia
Budget yako Haina kinywaji chochote, dah mkuu bado Iko tight sana , endelea kupambana mkuu,Ahsbh:1500 (Supu tsh.1000, Chapati 2 tsh.500)
Mchana:3000 (ugali napika home unga upo ,Dagaa 1000,Mtindi 1000, Mayai & Kachumbari)
Usiku:2500 (Viazi 1500,Mishkaki mitano 1000)
Vocha:1000
Hiyo ndo ratiba yangu ya home mkuu vinywaji vyote ninavyo stock , na kikweli hapo me ndo nakula ninachotaka.... Au we unategemea mtu ale nini ndo awe amekula anachotaka?Budget yako Haina kinywaji chochote, dah mkuu bado Iko tight sana , endelea kupambana mkuu,
Ila usije jaribu tena kuitumia kauli ya 'nakula nachotaka' kwa budget ya 8000 kwa siku.
Hiyo bayo pointinategemea na mahali unapoishi na upatikanaji wa chakula upo vp