Makadirio ya Gharama za ujenzi wa Ghorofa 1

Kwa jengo la gorofa moja 12mm ndo minimum kwa ajili ya nguzo na slab. 16mm ni mbwembwe za mafundi uchwara
 

Unataka kujenga nyumba ya Sqm 210 mkuu mbona hiyo ni shule ya kata kabisa [emoji276]hiyo nyumba hadi inaisha andaa milioni 105
 

Jengo la floor moja tu hizo nondo za 16mm za kazi gani mkuu,mbona nyie wasomi uchwara tunaowategemea huwa mnatuingiza hasara za kijinga [emoji276]?one floor nondo 16mm for what?,wakati boma unajenga kwa kulaza tofali?
 
Maalim Seif: usitutisheeeeeee....
 
Jengo la floor moja tu hizo nondo za 16mm za kazi gani mkuu,mbona nyie wasomi uchwara tunaowategemea huwa mnatuingiza hasara za kijinga [emoji276]?one floor nondo 16mm for what?,wakati boma unajenga kwa kulaza tofali?

Ukiweka 16mm tofali haulazi, ukiweka 12mm tofali ni kulaza
Ukitumia 16mm gharama inakua ndogo kwenye tofali kulinganisha na 12mm
 
Shukrani sana mkuu.
 
Mkuu,sasa ka.a mtu unajenga mdo mdo??
Alafu mbona mafundi wazuri wapo wengi tu mtaani.

Ghorofa ni ishu ndogo sana ukiamua.
Kweli,ndio nmeamua mkuu.naumiza kichwa kwenye nondo na slab..mfuko ikikazia hapo nafanikisha nilichokusudia.
 
Ahsante sana kwa ushauri wako
 
Ukiweka 16mm tofali haulazi, ukiweka 12mm tofali ni kulaza
Ukitumia 16mm gharama inakua ndogo kwenye tofali kulinganisha na 12mm
Mkuu ,naomba somo hapa.
Kweli nimeona baadhi ya sehem tofalu hawalazi kabisa,nilikuwa najua wanakosea,kumbe inawezekana kabisa???
 
Mkuu ,naomba somo hapa.
Kweli nimeona baadhi ya sehem tofalu hawalazi kabisa,nilikuwa najua wanakosea,kumbe inawezekana kabisa???
Ghorofa ni usukaji mzuri wa nondo na size ya nondo pia.kama ukipata msukaji mzuri wa nondo na ukanunua nondo za kutosha basi umemaliza mchezo.

Pia uchanganyaji wa zege na radio ya zege nanyo ni vitu vya kuzingatia sana.ukimuachia tu fundi michael bila kumsimamia basi jiandae kutumikia kifungo chako[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ni Qs (quantity Surveyor) naweza kukufanyia estimation nzima ya gharama ya ujenzi wako iwapo nitapata details zote za jengo lako sio kwa maelezo kama ulivyo analyse my whatsup number 0625272770 welcome
 
Ghorofa moja kitu gani mkuu, huko Rombo wachaga wanajenga wenyewe bila hata hao Engineers. Hii Tanzania ukitaka kufuata sheria utaumia bure tu au ushindwe kutimiza ndoto zako.

Jambo la msingi nu kuzingatia kiwango cha nondo na cement pamoja na vipimo basi kwisha.
 
Column ziwe mm 16
Slab ziwe mm 12
Slab itakula tan 4 za chuma iwapo, utatengeneza kichanja cha juu na chini
 
Kuna watu wa ajabu sana badala ya kutoa ushauri kama alivyoomba wao wanaanza kumkosoa Acheni WIVU na ROHO ya korosha
 
Tani moja ya nondo za milimita 12 zinakaa pc 94 sio 89. Kutosha ama kutotosha itategemea na structural drawings zako zilivyo, hapa nazungumzia idadi ya nguzo, lakini pia idadi ya nondo kwa kila nguzo kutegemeana na uzito unaobebwa na hiyo nguzo n.k
Upande wa slab, idadi ya nondo itategemea na spacing kati ya nondo moja na nyingine, spacing inavyozidi kuwa ndogo ndipo idadi ya nondo inavyozidi kuongezeka and vice versa
Ukiachana na nguzo na slab, pia kuna beam (mkanda) na ngazi. Kiufupi ili upate estimation sahihi inayokaribiana na uhalisia inabidi uwe na Bar Bending schedule (michoro ya nondo ya jemgo zima)
Kwa mahitaji ya Ramani, Makadirio au Ushauri kuhusu ujenzi tuwasiliane PM
 
Jengo la floor moja tu hizo nondo za 16mm za kazi gani mkuu,mbona nyie wasomi uchwara tunaowategemea huwa mnatuingiza hasara za kijinga [emoji276]?one floor nondo 16mm for what?,wakati boma unajenga kwa kulaza tofali?
[emoji2][emoji2][emoji2]
 
[emoji2][emoji2][emoji2]
Kuna umuhimu wa shule kupita.

Majengo hujengwa kwa principle's ili yadumu.

Siku hizi wataalamu ni wengi (wa by experience). Sishangai kuona nyumba/majengo mengi hazidumu kwa muda mrefu.

Waliopitia shule ya ujenzi (Wahandisi,Architects,Qs) watanielewa. Design books nyingi kama BS etc zimeandaliw based on accumulated experiences ya miaka mingi..mwishowe inakuwa agreed kuwa standard..Ukiona standard fulani kwenye design book umeviolate below minimum recomendation.(Failure yake ni lazima itaonekana after a time)..

Na haina maana ukiviolate rule fulani effect yake itaonekana wakati huo huo hapana!!!. Itachukua muda fulani ambapo baada ya huo muda lazima utaingia gharama ili kurekebisha.

Unaweza kujenga slab,beam na column za G + First floor kwa kutumia Mianzi kama mbadala wa nondo na likasimama..linaweza lisifeli siku hiyo hiyo ni suala la muda.

Fundi maiko aliyefanya kazi za wachina anaweza simamisha hata hiyo ghorofa 1.bila Engineer wala architect.IMPACT yake ni baada ya kujenga.


Sibishani na yeyote humu na wala simaanishi kwenye taaluma hukuna makanjanja.NO!.Lakini kuna kitu nilihitaji tueleweshane kuhusu umuhimu wa wataalamu wa fani husika..Maana kila kinachofanyika kwenye ujenzi kina implication kwenye (cost,design na durability)
 
[emoji2][emoji2]bati ya geji 32 ni kwaajili ya temporary structures kama site hodding nk.
Haina maana ukiezeka kwenye nyumba yako ya kudumu haitokaa[emoji2][emoji2].inakaa vizuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…