Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hbr wana JF,
Naomba kuuliza, natarajia kuanzisha ujenzi wa nyumba ya gorofa 1 yenye ukubwa wa 14mt x 15mt. Vyumba vinne juu chumba kimoja chenye ft 17.5x17ft
JE, tone 5 za nondo milimit 12, zinaweza kutosha mpk slab ya kubeba gorofa 1 iwapo tone 1 ya nondo nmeambiwa zinakaa 89.
Ardhi ipo sehemu tambarale, na hakuna majimaji. Ahsanteni, mawazo yenu muhimu waungwana.
Hesabu Nguzo ziko ngapi, nondo moja ya 40ft ambayo ni sawa na 13m kwenye nguzo moja inakatwa na kuingia vipande viatu.
Nguzo za kusimama zinatumika 16mm kwa experience yangu ya majengo mengi
Pia utatumia Ringi 8mm pamoja na binding wire
Nguzo moja yenye vipande vinne vya nondo ya 16mm na ringi ya 8mm roughlyinakua na gharama ya 60,000 hivo utahesabu jumla una nguzo ngapi za ground floor mara bei hiyo hapo juu.
Pia kwa hesabu hiyo utaweza kuhesabu nondo zinaingia ngapi kwenye nguzo zote kutokana na structural drawings
Maalim Seif: usitutisheeeeeee....Unajenga ghorofa bila kuwa na QS wa kukukadiria gharama? Jamani tuache na masihara na ghorofa. Sharti kuu la kujenga ghorofa kwa mujibu wa sheria ni kuwa na Structual Engineer, Electrical Engineer, Archtecture na Quantity Surveyor na unatakiwa kuweka bango kabisa lenye majina ya hao wataalam na chini kabisa linaandikwa UKIMWI UNAUA ha ha ha
Jengo la floor moja tu hizo nondo za 16mm za kazi gani mkuu,mbona nyie wasomi uchwara tunaowategemea huwa mnatuingiza hasara za kijinga [emoji276]?one floor nondo 16mm for what?,wakati boma unajenga kwa kulaza tofali?
Shukrani sana mkuu.Hesabu Nguzo ziko ngapi, nondo moja ya 40ft ambayo ni sawa na 13m kwenye nguzo moja inakatwa na kuingia vipande viatu.
Nguzo za kusimama zinatumika 16mm kwa experience yangu ya majengo mengi
Pia utatumia Ringi 8mm pamoja na binding wire
Nguzo moja yenye vipande vinne vya nondo ya 16mm na ringi ya 8mm roughlyinakua na gharama ya 60,000 hivo utahesabu jumla una nguzo ngapi za ground floor mara bei hiyo hapo juu.
Pia kwa hesabu hiyo utaweza kuhesabu nondo zinaingia ngapi kwenye nguzo zote kutokana na structural drawings
Kweli,ndio nmeamua mkuu.naumiza kichwa kwenye nondo na slab..mfuko ikikazia hapo nafanikisha nilichokusudia.Mkuu,sasa ka.a mtu unajenga mdo mdo??
Alafu mbona mafundi wazuri wapo wengi tu mtaani.
Ghorofa ni ishu ndogo sana ukiamua.
Ahsante sana kwa ushauri wako40 ft ni sawa na 12m sio 13. Hata hivyo sio sawa kuwa nguzo moja itaingia vipande vitatu. Kwa msingi pekee nondo moja ya nguzo inaweza kuwa na urefu wa mita 2.7 (mkunjo wa base 0.5m, urefu wa shimo la nguzo 1.5m, urefu wa mwendelezo lap length 0.7). Bado hujaweka urefu wa nguzo yenyewe kabla ya jamvi ambapo itakuwa nayo ni 3m.
Jambo la muhimu chora michoro miwili ya usanifu na uhandisi baada ya hapo materials unaweza kujifunza hata mtandaoni ukadiria mwenyewe sio lazima QS. Mambo ya mabango achana nayo. Tafuta fundi mzoefu wa hizo kazi na muombe aliyekuchorea mchoro wa usanifu mara moja akusaidie kucheki maendeleo ya kazi.
Mkuu ,naomba somo hapa.Ukiweka 16mm tofali haulazi, ukiweka 12mm tofali ni kulaza
Ukitumia 16mm gharama inakua ndogo kwenye tofali kulinganisha na 12mm
Ghorofa ni usukaji mzuri wa nondo na size ya nondo pia.kama ukipata msukaji mzuri wa nondo na ukanunua nondo za kutosha basi umemaliza mchezo.Mkuu ,naomba somo hapa.
Kweli nimeona baadhi ya sehem tofalu hawalazi kabisa,nilikuwa najua wanakosea,kumbe inawezekana kabisa???
Mimi ni Qs (quantity Surveyor) naweza kukufanyia estimation nzima ya gharama ya ujenzi wako iwapo nitapata details zote za jengo lako sio kwa maelezo kama ulivyo analyse my whatsup number 0625272770 welcomeHbr wana JF,
Naomba kuuliza, natarajia kuanzisha ujenzi wa nyumba ya gorofa 1 yenye ukubwa wa 14mt x 15mt. Vyumba vinne juu chumba kimoja chenye ft 17.5x17ft
JE, tone 5 za nondo milimit 12, zinaweza kutosha mpk slab ya kubeba gorofa 1 iwapo tone 1 ya nondo nmeambiwa zinakaa 89.
Ardhi ipo sehemu tambarale, na hakuna majimaji. Ahsanteni, mawazo yenu muhimu waungwana.
Ghorofa moja kitu gani mkuu, huko Rombo wachaga wanajenga wenyewe bila hata hao Engineers. Hii Tanzania ukitaka kufuata sheria utaumia bure tu au ushindwe kutimiza ndoto zako.Unajenga ghorofa bila kuwa na QS wa kukukadiria gharama? Jamani tuache na masihara na ghorofa. Sharti kuu la kujenga ghorofa kwa mujibu wa sheria ni kuwa na Structual Engineer, Electrical Engineer, Archtecture na Quantity Surveyor na unatakiwa kuweka bango kabisa lenye majina ya hao wataalam na chini kabisa linaandikwa UKIMWI UNAUA ha ha ha
Kuna watu wa ajabu sana badala ya kutoa ushauri kama alivyoomba wao wanaanza kumkosoa Acheni WIVU na ROHO ya koroshaJamaa kaomba ushauri,
Instead ya ushauri kila mtu anakuja kujipigia pande apewe mchongo.
Ingekua hilo ndo lengo lake angeweka uzi rasmi kua anatafta mtu wa hivo vitu.
Kaomba general ushauri, if ypu know something share kila mtu apate chochote, huu ukiritimba wa kutaka kuvuta pembeni ni uboya.
Tani moja ya nondo za milimita 12 zinakaa pc 94 sio 89. Kutosha ama kutotosha itategemea na structural drawings zako zilivyo, hapa nazungumzia idadi ya nguzo, lakini pia idadi ya nondo kwa kila nguzo kutegemeana na uzito unaobebwa na hiyo nguzo n.kHbr wana JF,
Naomba kuuliza, natarajia kuanzisha ujenzi wa nyumba ya gorofa 1 yenye ukubwa wa 14mt x 15mt. Vyumba vinne juu chumba kimoja chenye ft 17.5x17ft
JE, tone 5 za nondo milimit 12, zinaweza kutosha mpk slab ya kubeba gorofa 1 iwapo tone 1 ya nondo nmeambiwa zinakaa 89.
Ardhi ipo sehemu tambarale, na hakuna majimaji. Ahsanteni, mawazo yenu muhimu waungwana.
Ndio nashangaa kagorofa moja tu.cha kuwatisha majirani.mpak 16mm..Kwa jengo la gorofa moja 12mm ndo minimum kwa ajili ya nguzo na slab. 16mm ni mbwembwe za mafundi uchwara
[emoji2][emoji2][emoji2]Jengo la floor moja tu hizo nondo za 16mm za kazi gani mkuu,mbona nyie wasomi uchwara tunaowategemea huwa mnatuingiza hasara za kijinga [emoji276]?one floor nondo 16mm for what?,wakati boma unajenga kwa kulaza tofali?
Kuna umuhimu wa shule kupita.[emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji2][emoji2]bati ya geji 32 ni kwaajili ya temporary structures kama site hodding nk.Kuna umuhimu wa shule kupita.
Majengo hujengwa kwa principle's ili yadumu.
Siku hizi wataalamu ni wengi (wa by experience). Sishangai kuona nyumba/majengo mengi hazidumu kwa muda mrefu.
Waliopitia shule ya ujenzi (Wahandisi,Architects,Qs) watanielewa. Design books nyingi kama BS etc zimeandaliw based on accumulated experiences ya miaka mingi..mwishowe inakuwa agreed kuwa standard..Ukiona standard fulani kwenye design book umeviolate below minimum recomendation.(Failure yake ni lazima itaonekana after a time)..
Na haina maana ukiviolate rule fulani effect yake itaonekana wakati huo huo hapana!!!. Itachukua muda fulani ambapo baada ya huo muda lazima utaingia gharama ili kurekebisha.
Unaweza kujenga slab,beam na column za G + First floor kwa kutumia Mianzi kama mbadala wa nondo na likasimama..linaweza lisifeli siku hiyo hiyo ni suala la muda.
Fundi maiko aliyefanya kazi za wachina anaweza simamisha hata hiyo ghorofa 1.bila Engineer wala architect.IMPACT yake ni baada ya kujenga.
Sibishani na yeyote humu na wala simaanishi kwenye taaluma hukuna makanjanja.NO!.Lakini kuna kitu nilihitaji tueleweshane kuhusu umuhimu wa wataalamu wa fani husika..Maana kila kinachofanyika kwenye ujenzi kina implication kwenye (cost,design na durability)