Nahisi hizi roofless wanazikosea mtu anajenga akifika kwenye kuezeka ndoa anawaza roofless. Nimeona jamaa anajenga hapa jirani yani toka msingi nyumba inaandaliwa njia za maji kupita wanamwaga zege bomba za kupitisha maji zinapita kwenye nguzo za nje hadi chini.Kwa makadirio ya chap andaa walau 40millions kama upo Dar, lakini kama upo mkoa tofauti na Dar andaa walau 50millions.
Ushauri:
1. Badilisha dinning ije kwenye bedroom 1 and bedroom 1 ikawe kwenye dinning.
2. Achana na roof less utakuja kunishukuru, otherwise amua kumwaga zege ndio ifunike nyumba.
Haihitaji marekebisho mkuu(kwa maoni yangu), ila inahitaji fundi mzuri hasa roofing. Uzuri ni kwamba unatoka na design yake kuanzia chini hivyo ukifika juu kila kitu kinaeleweka/kimejiweka mahali pake.Hii roof inahitaji marekebisho au ndo risk ya kuvuja mkuu?
Kwenye plumbing ukitumia choo cha kukaa na maji moto maji baridi gharama yake ni 673,000/=Ushauri umepokelewa kwenye mbwembwe. Vipi hivyo vyoo gharama si itapanda ukizingatia plumbing na materials?
Karibu sana nicheki tufanye kaziNi sahihi sema zile gharama na ujenzi wao ni wa kiwango cha juu sana. Nahitaji kupunguza at least kuendeana na vipato vyetu vya kudundiliza.. Nitakucheki mkuu naamini kuna namna ya kuadjust au sio?
Mkuu hii ramani inatoshea kwenye eneo la sqm ngapi?View attachment 2996492View attachment 2996495View attachment 2996496View attachment 2996497View attachment 2996498View attachment 2996499
View attachment 2996494
Msingi nataka kujenga wa mawe na uwe juu urefu wa mita moja.
Wataalamu naombeni makadirio ya gharama inaweza kufikia kiasi gani mpaka huo mjengo ukamilike kutokana na vielelezo vinavyoonekana hapo juu.
Nipo tayari kutoa vielelezo vingine kama vitahitajika.
Mkuu kuuliza ni ujinga, umejuaje kuwa ni 190sqm? Na je nikiwa na eneo la 111.5sqm kipi nipunguze itoshee nyumba kama hiyo?Ramani nzuri, design nzuri, hapo ni wewe na constructors wako tu, usimamizi mzuri hasa kwenye hiyo roof utakupa kitu kizuri. 190sqm ni nyumba kubwa(kwa viwango vyetu)
Nyumba yenye Sqm 189 ujenge kwa 40m,??Kwa makadirio ya chap andaa walau 40millions kama upo Dar, lakini kama upo mkoa tofauti na Dar andaa walau 50millions.
Ushauri:
1. Badilisha dinning ije kwenye bedroom 1 and bedroom 1 ikawe kwenye dinning.
2. Achana na roof less utakuja kunishukuru, otherwise amua kumwaga zege ndio ifunike nyumba.
Mkuu kuuliza ni ujinga, umejuaje kuwa ni 189sqm? Na je nikiwa na eneo la 111.5sqm kipi nipunguze itoshee nyumba kama hiyo?Nyumba yenye Sqm 189 ujenge kwa 40m,??
Haya yatakuwa maajabu ya dunia
Eneo unalotarajia kufanya ujenzi litasaidia pia makadirio ya gharama,nataraji wajuzi wa mambo haya mtatoa mchango kwa nia njema ya udungu wa Kitanzania.View attachment 2996492View attachment 2996495View attachment 2996496View attachment 2996497View attachment 2996498View attachment 2996499
View attachment 2996494
Msingi nataka kujenga wa mawe na uwe juu urefu wa mita moja.
Wataalamu naombeni makadirio ya gharama inaweza kufikia kiasi gani mpaka huo mjengo ukamilike kutokana na vielelezo vinavyoonekana hapo juu.
Nipo tayari kutoa vielelezo vingine kama vitahitajika.
Nimefanya calculation mkuu ,Mkuu kuuliza ni ujinga, umejuaje kuwa ni 189sqm? Na je nikiwa na eneo la 111.5sqm kipi nipunguze itoshee nyumba kama hiyo?
Nimefanya calculation mkuu ,Mkuu kuuliza ni ujinga, umejuaje kuwa ni 189sqm? Na je nikiwa na eneo la 111.5sqm kipi nipunguze itoshee nyumba kama hiyo?
Na kwa ukubwa wa kiwanja chako hutaweza kujenga nyumba kama hyo.Mkuu kuuliza ni ujinga, umejuaje kuwa ni 189sqm? Na je nikiwa na eneo la 111.5sqm kipi nipunguze itoshee nyumba kama hiyo?
Ukimkuta maiko mzoefu utampenda bure,ila ukikutana na maiko kanjanja utajingonea big G.Namsubiria fundi Maikoo aseme nenoo
111.5sqm naweza jenga contemporary ya vyumba vitatu(master moja), dining, kitchen na publicNimefanya calculation mkuu ,
Mimi ni Injia by professional
Nataka kama hiiNimefanya calculation mkuu ,
Mimi ni Injia by professional
Na kwa ukubwa wa kiwanja chako hutaweza kujenga nyumba kama hyo.
Njia pekee either upungunze ukubwa wa nyumba,seble na baadhi ya vitu lakini sioni kama itapungua sana .
Inawezeka kweli gharama za ujenzi zikawa juu kwa mikao kama Morogoro, Tanga , lindi , kilimanjaro na Arusha kuliko Dar es salaam ?Nimefanya calculation mkuu ,
Mimi ni Injia by professional
Na kwa ukubwa wa kiwanja chako hutaweza kujenga nyumba kama hyo.
Njia pekee either upungunze ukubwa wa nyumba,seble na baadhi ya vitu lakini sioni kama itapungua sana .
Gharama za ujenzi zinategemea sana na total square meters za jengo lako,111.5sqm naweza jenga contemporary ya vyumba vitatu(master moja), dining, kitchen na public
Nataka kama hii