Nahisi hizi roofless wanazikosea mtu anajenga akifika kwenye kuezeka ndoa anawaza roofless. Nimeona jamaa anajenga hapa jirani yani toka msingi nyumba inaandaliwa njia za maji kupita wanamwaga zege bomba za kupitisha maji zinapita kwenye nguzo za nje hadi chini.Kwa makadirio ya chap andaa walau 40millions kama upo Dar, lakini kama upo mkoa tofauti na Dar andaa walau 50millions.
Ushauri:
1. Badilisha dinning ije kwenye bedroom 1 and bedroom 1 ikawe kwenye dinning.
2. Achana na roof less utakuja kunishukuru, otherwise amua kumwaga zege ndio ifunike nyumba.