Jioni njema chief!Hapo ni sawa na mm niseme hivyo kwako, kuwa una kichwa kizito ah huelewi
Nadhani Hadi hapa kwanza tumekubaliana hiyo 189sqm sio ukubwa wa nyumba. Hili limeisha
Huo urefu na upana, kwa nn unakataa hauwakilishi ukubwa wa nyumba? Hili ndio ulipaswa kunijibu
Kwa nn unakataa 13.3 times 18.2 sio ukubwa wa hiyo nyumba. Nadhani tuanzie hapa
Sijui square metre zinapatikana vipi? Ww unaota auKama hujui sqm znapatkana vp ,swali ambalo nila mtoto wa diploma anaechukua engineering ,sasa nawezaje kutoa maelezo zaidi?
Ww niambie hiyo yako 189sqm umeipataje?Kaka ebu achana na huyo mtu,hana anachojua kuhusu Building Square metres calculation
Jengo lina 13 kwa 15?? HowMfano:
Jengo lina 13m x 15M ,sasa kwa akili za layman atasema hilo jengo lina 195sqm,
Kitu ambacho sio sahihi ,sababu jengo lina consists cona tofauti tofauti ,nandio maana tunatumia program mbalibali kupata sqm za majengo..
Sijui square metre zinapatikana vipi? Ww unaota au
Ww ulisema ukubwa wa hiyo nyumba ni 189sqm, mm nikakuambia hapana. Sasa ulitakiwa kusema kwa nn unasema hiyo nyumba ukubwa wake ni 189sqm na hiyo 189sqm umeipataje. Haya yote hujayajibu
Kuhusu taaluma yangu huifahaW
Ww niambie hiyo yako 189sqm umeipataje?
Maana ulisema umefanga calculation. How
Maana hiyo 189sqm ya floor area inaweza kuexclude baadhi ya space humo ndani, ndio nataka nijue ww umeipataje uone kama utakua sawa na waloyoweka kwenye huo mchoro
Wwka calculation hapa za hiyo 189sqm kama hujachemsha ndugu
Aisee una kichwa kigumu sana ndugu yangu ,ebu soma vzuri msg yanguJengo lina 13 kwa 15?? How
Na ww ulisema hiyo 189sqm umeipata baada ya kufanya calculation, so 13×15=189??
Mwanzo ulisema 189sqm, Kuna mtu akauliza umeipataje, ukasema umefanya calculationAisee una kichwa kigumu sana ndugu yangu ,ebu soma vzuri msg yangu
Mad Max ushauri wako tunaungoja.Hapo ngoja nimuoneshe dogo flani..
kwa ramani hii mpaka hatua uliyofikia 30m?Nshatumia 3Omil bado sijapaua