ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Jioni njema chief!Hapo ni sawa na mm niseme hivyo kwako, kuwa una kichwa kizito ah huelewi
Nadhani Hadi hapa kwanza tumekubaliana hiyo 189sqm sio ukubwa wa nyumba. Hili limeisha
Huo urefu na upana, kwa nn unakataa hauwakilishi ukubwa wa nyumba? Hili ndio ulipaswa kunijibu
Kwa nn unakataa 13.3 times 18.2 sio ukubwa wa hiyo nyumba. Nadhani tuanzie hapa