Jack Daniel's
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 1,008
- 835
&Mtu aliye kwisha kufa haambiwi buriani ana ambiwa apumzike kwa amani.jifunze vzur kiswahili.
Shukrani sana Salary Slip
Hukohuko wapi?buriani ana ambiwa mtu anaye enda vitani...asante kwa kunisahihisha kuhusu herufi kubwa.the reformer,Asante.Si unajua kiswahili chetu ni cha hukohuko.Ila pia nadhani baada ya alama ya nukta sentensi inapaswa kuanza kwa herufi kubwa kama nilivyokoleza rangi nyekundu hapo juu.
&
Lugha si maudhui ya habari hiyo isitoshe waungwana tumemuelewa,nakuona kama ni mmoja wa wale walio#%* Kazi nzuri Ben S!
Chadema mkishamzika mawazo mtatumia nini kutafuta umaarufu wa kisiasa? Maana huu msiba kwenu ni sherehe ya kisiasa mnatamani akae mochwari ata mwaka ili nyie mpate kick.
Hongera Sana Ben , Nice makala umetupa mwanga .
Usiache kuvaa viatu vyake kama una nafasi hiyo
R.I.P Mawazo.
Mimi namfananisha Mawazo na Che Guevara wa afrika. Huyu anastahiki kutunukiwa nishani ya juu ya Makamanda Katika ukawa! Buriani Mawazo na ingawa kimwili umetutoka ila jina lako litazidi litanga'aa.
Hapa juzi tu baada ya kuhamia UKAWA Mr. Ziro eti naye alijifananisha na comrade Che...Maajabu!Huwezi kumfananisha che-guevara na marehemu alphonce mawazo... Karudie kusoma historia ya Che-Guevara...
Kweli ninyi Maccm hamchoki kumwaga damu za watu, mnamzurumu haki yake na bado mnamuuwa, huu ni ujambazi, yaani uccm ni ushetani, shetani ndio mwenyekazi ya kuua watu.
Na ilaaaniwe CCM, na misinge yake yote kwa kumwaga damu zisizo kuwa na hatia.
Walaaniwe wote waliohusika na mauwaji haya, maisha yao na yawe ya hofu na woga siku zote.
Ilaaniwe kila yeyote aliyehusika na mpango wa mauwaji haya hata kama alisikia na akanyamanza pia.
Walaaniwe pilisi wote, ambao wamepuzia jambo hili na kuzuia haki isitendeke.
CCM, CCM, utaacha lini kuuwa watu, ambao wapo katika haki zao.
Ni CCM ambayo ilimua Daudi Mwangosi kule Iringa, chini ya kamanda Michael Chamuwanda, ni CCM ndio iliuwa wale watu kwa mabomu kule Arusha wakati wa kufunga kampeni za udiwani chini ya uratibu wa Mwiguru Nchemba.
Ni CCM hii hii, iliwauwa watu 21 kwa risasi mwaka 2001, wakiwa katika maandamano ya amani.
Tunajua haya yote yana mwisho, Mungu yupo, ipo siku huu utawala wa kidhalimu unaouwa watu wake utafika mwisho.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
Huwezi kumfananisha che-guevara na marehemu alphonce mawazo... Karudie kusoma historia ya Che-Guevara...