Makala: Buriani Komredi Mawazo, Mpe Hongera Zangu Ken Saro-Wiwa

Ben pole sana kamanda, umeniliza kwa makala hii, nimeifananisha na ya mfalme Daud alivyomlilia Jonathani mtoto wa Saul
 
Ben aise umenigusa kiasi machozi yananitoka...nikupongeze kwa makala safi...zaidi ya yote nikupe pole kwa rafiki Mawazo na kwa Watanzani kwa ujumla hakika damu ya mawazo italia nakutafuta haki kama ilivyofanyika kwa HABILI.
 
Umeandika kwa busara nyingi iliyochanganyika na pumba kidogo hivyo kuchafua post yKO!
 
Umeandika kwa busara nyingi iliyochanganyika na pumba kidogo hivyo kuchafua post yKO!
Nimechafua wapi? Jisikie huru kurekebisha na kuandika kama nilivyotakiwa kuandika basi. Na kama unatafuta ugomvi leo siko kwenye mood ya kugombana na mtu hasa kwenye post ya muhimu kama hii. Suala hili kwangu linavuka tofauti zetu za kisiasa. Ni suala la ubinadamu na haki zake za msingi. RIP Alphonce Mawazo.
 
Asante Ben kwa makala yako juu ya mpendwa wetu Alfonsi Mawazo. Ni makala inayosisimua na yenye huzuni kubwa. Pumzika kwa amani Mawazo, kifo chako ni mbegu itakayochipua dhidi ya utawala wa kiimla.
 
Magwangala katika hili tusingependa mizaha ya aina hii, labda utwambie wewe ni mmoja wa wahusika Kati ya waliosababisha umauti wa Mawazo.
 
Asante Ben kwa makala yako juu ya mpendwa wetu Alfonsi Mawazo. Ni makala inayosisimua na yenye huzuni kubwa. Pumzika kwa amani Mawazo, kifo chako ni mbegu itakayochipua dhidi ya utawala wa kiimla.

Asante sana kamanda
 
Ben maneno yako ni ya msingi sana hasa kwa watu wanaopigania haki za wanyonge kama kamanda mawazo, yote uliyoyaeleza ni ya kweli nimemfahamu sana na nimejifunza mengi kwake.Naamini ipo siku yote yatakwisha
 
Ben, Umeomboleza kwa heshimu kubwa. RIP mawazo
 

Ndio maana nakwambia umeandika kwa busara nyingi sana kuliko nilichotegemea kwako,kumbe ukiondoa mbwembwe za kisiasa unakuwa mtu mwenye utu namna hii,hata hivyo kwa mbali umetoa dongo kwa cdm kushindwa kumlinda kiongozi huyu "kwa kutumia fungu la ruzuku",kama kila kiongozi wa mkoa atawekewa mpambe itakuwa ni gharama kiasi gani ikiwa CCM pamoja utajiri wa ruzuku haina bajeti hiyo,ndio maana kwangu hii ndio "pumba"kidogo kutoka kwenye busara nyingi katika post yako ya kiungwana!
 
Again jisikie huru kurekebisha post yangu vyo vyote utakavyoona inafaa ili kuondoa "pumba" zilizomo. SITAKI kujibizana nawe kwa namna yo yote ile kuhusu suala hili na kama nilivyosema, suala hili linavuka tofauti zetu za kisiasa kwani hakuna binadamu anayestahili kukatwa mapanga kama mnyama na kuachwa akihangaika peke yake kando ya barabara bila msaada wo wote tena mchana kweupe.

Rudi tena ukaisome comment yangu kwa upole na bila miwani ya kisiasa pengine utanielewa. Samahani!
 
Naenda Geita Ben
Labda ntaweza kubadilisha kitu
Ntajitahidi angalau niwe nusu ya Mawazo.
 
Hizo quotes mbili zimenihudhunisha sana.





 

aache kuchochea hasira za chadema sio za watanzania! kuna sehemu kubwa hawamjui na upate taarifa tu ni maarufu zaidi mitandaoni na amekuwa maarufu baada ya kifo! Binafsi sikuwa namjua,so rekebisha sema hasira za chadema ukisema watanzania una maanisha wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…