Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Tena unaweza kuta hata hawajiiti Freemason 😂
Yani sisi tuendelee na wale freemason wetu wa "kujiunga freemason 5000" 😂
Anyway,
Kujua info ya mtu ni kummudu, namaanisha kama hawa jamaa wangejulikana kwa kina kuhusu utendaji wao basi ingekuwa rahisi wao kuwa infiltrated na kuwa dis-organized ila miaka na miaka wameendelea kuwa prolific na haujawahi sikia scandal yoyote juu yao.