Makala mengi kuhusu Freemason yanatofautiana sana. Naamini hakuna mwenye concrete info juu yao. Hii ni ishara jinsi gani FM walivyo na weledi mkubwa.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Tena unaweza kuta hata hawajiiti Freemason πŸ˜‚

Yani sisi tuendelee na wale freemason wetu wa "kujiunga freemason 5000" πŸ˜‚

Anyway,

Kujua info ya mtu ni kummudu, namaanisha kama hawa jamaa wangejulikana kwa kina kuhusu utendaji wao basi ingekuwa rahisi wao kuwa infiltrated na kuwa dis-organized ila miaka na miaka wameendelea kuwa prolific na haujawahi sikia scandal yoyote juu yao.
 
ID yako imeibiwa au ni wewe? Unaweza kuwadis-organise Rothchilds?

Achana na Freemason hata Illuminati huwawezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…