Makala ya wazi kwa Rais Samia imfikie popote alipo na kuisoma

Moderator Uzi huu unatakiwa upelekwe pale juu kwenye Ushauri na maoni Kwa SSH ๐Ÿ™
Acha zako wewe. Maana naona kila siku unasemaga nyuzi zangu zipelekwe juu.kwanini wewe usiwe unaweka zako pale juu. Unaumia nini ndugu yangu mtanzania uliyejaa chuki.
 
Acha zako wewe. Maana naona kila siku unasemaga nyuzi zangu zipelekwe juu.kwanini wewe usiwe unaweka zako pale juu. Unaumia nini ndugu yangu mtanzania uliyejaa chuki.
Sio chuki,

Nyuzi za kumpongeza na kumshauri SSH zimewekewa thread maalum inayohusu Maoni,Ushauri,mapendekezo na Pongezi Kwa Rais Samia Suluhu Hassan Maxence Melo , Moderator tafadhali threads za Lucas Mwashambwa zinazomuongelea SSH na kumshauri ziungwe pale juu tafadhali๐Ÿ™
 
Kila la kheri kwa rais wangu Mama samia piga kazi usiwasikilize wapiga kelele wengi wao wana udini sana
 
Kwani wewe unaumia nini hadi utake ikae unakotaka wewe? Inahusiana nini na vipi na hiyo iliyopo huko unakosema wewe? Inakuzuia nini wewe kuweka nyuzi zako humu? Kuna nyuzi umeandika ikakakataa kukaa na Kusomwa na watu kwasababu nimeweka yangu? Acha wivu wivu wako na hoja zisizo na mashiko.maana naona kila muda unafanya kazi ya kuhangaika na mimi badala ya kuhangaika na mambo yako. Acha ujinga na utoto wako.
 
Lucas hii ngonjera kwanini usingemuimbia mama Lucas hapo Mbozi?
Ili asikie raha kuzaa jembe
WIVU unakusumbua, ungependa akusifie wewe tu @ephen.

Hiyo ndio hatari ya kuwa na urafiri na mtu chawa!!
 
Habari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia naweza kufanya kazi popote pale penye maabara au panapozalishwa bidhaa .yeyote atakaye nisaidia kupata connection ya job nipo tayri kuingia naye mkataba awe anakata 10% ya mshahala wangu ndani ya miezi 12.asanteni
 
Umekasirika?
 
Tafuta hela dogo!!

Kule Tabora Kuna Taasisi ya Athuman Kapuya itakumeza
 
Huu ni ushahidi tosha unaweza kukuweka gerezani,

Unashawishi umma upewe KAZI Kwa RUSHWA,

TAKUKURU tafadhali๐Ÿ™
 
Mwenyezi MUNGU mbarik mama Samia suluhu hassani namkubali mama kama mama..

Mwenyezi MUNGU ibariki TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
 
Umekasirika?
Fungua au anzisha jukwaa lako ambako utaweka mashariti kama ya nyumbani kwako. Huko utakuwa huru kabisa kuweka masharti unayoyataka na kuwa na member wa kuendana na matakwa yako na wenye mawazo na mitizamo kama yako ambako mimi huko wala hutaniona wala kukanyaga.
 
Kama unaona wivu basi kufa tu.
 
Dah Lucas Mwashambwa shkamoo aisee, wewe umeshindikana..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Unaamini maoni yangu yanaweza kupunguza posho unayolipwa kusifia viongozi Ili kuwapumbaza wasifanye KAZI zao Kwa weledi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ