Makala ya wazi kwa Rais Samia imfikie popote alipo na kuisoma

Kama unaona wivu basi kufa tu.
Sisi tuliokwenda shule tunajua unachofanya ni dhihaka!!

Huna tofauti na wanaotoa mafunzo Kwa Mbwa Ili akeshe analinda usiku kucha!!

Acha brother!! Huyo unayemdhihaki ni Wetu hata kama Hatumpendi.
 
Uwa nasikia unajinasibu uliishi laela, uwa naona aibu kweli kama mtu wa laela.
 
Unaamini maoni yangu yanaweza kupunguza posho unayolipwa kusifia viongozi Ili kuwapumbaza wasifanye KAZI zao Kwa weledi?
Usifikiri kila mtu analipwa kama unavyolipwa wewe. Acha chuki na wivu wa kitoto kitoto. Wewe fanya yako yanayokuhusu na kuacha wahusika wafanye yao. Maana naona unatamani uwe Kiranja wa JF na kuwafundisha viongozi cha kufanya. Kama unatamani sana ukiranja nimekushauri bure kabisa kuwa anzisha jukwaa lako utakakoweka masharti yako.
 
Mama "Uza Uza" unamtia Faraja ya nini?!
 
Hujui kuwa hapo juu,

Kuna thread inayohusu MAONI, USHAURI, PONGEZI, MAPENDEKEZO KUMUHUSU SAMIA SULUHU HASSAN?

Uzi huu ulioandika huoni kuwa unatakiwa kuungwa pale juu?

Kosa LANGU nini hapo?

Kama Huwa hulipwi kuandika Pongezi daily, kwanini ukasirike nikiwashauri moderators kuhamisha nyuzi zako ziwekwepale juu?
 
Kuna dalili hunaga kazi muhimu za kufanya.
 
Acha utoto wako wewe. Wewe ni kiongozi? Unaongea kama nani? Unahusika nini na yanakuhusu nini mambo ya viongozi? Acha kiherehere
 
Nataka nikuchangie kwa klbandiko zuri la kumsifia mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…